Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 6,213
- 11,603
MANU ukiangalia mwanzoni alifungwa na timu za hovyo sana na baada ya kuchapwa na Liverpool mambo yote yalianza kwenda chini, next time consistency ni muhimu sana na huwezi kuruhusu timu mbovu zichukue point tatu bila sababu ya muhimu











27 - Man United
22 - Arsenal
19 - Chelsea
