Forgotten
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,630
- 11,098
Futa hii nikuonyeshe medali ya UEFA.
Futa hii nikuonyeshe medali ya UEFA.
Ataungana na Don Beek dispensary ya Man U.
Labda kuuza jeziHuyo Neymar Ten Hag anamtaka kweli au ndo usajili kama wa kina Falcao na Cavani
Utakuwa ni upuuzi mkubwa Dunia ya football hakuna right beki inakaba kama Bisaka sasa unamuuzaje badala ya kumuacha awe kama backup yaani akiondoka huyu halafu tukutane na mawinga aina ya Mitomy tumekwisha tutashikilia moyo mwanzo mwisho.Well ill be damn, wanamuuza huyu bwana halaf takataka zingine zinabaki seriously?
Huyu brazamen anataka kuja wapi tena 😃
Neymar amenogewa na style za Martial na Rashford. Forward ya mabishoo.Huyu brazamen anataka kuja wapi tena 😃
Acha kabisa rooney tevez cristiano luis nani mambo yalikuwa 🔥🔥🔥Neymar amenogewa na style za Martial na Rashford. Forward ya mabishoo.
Kwakweli tutaikumbuka sana Forward ya akina Rooney na Tevez, watu wa kazi.
Wewe huna akili kabisaPale dalot,bissaka,rashford, mm Nampa credit Sancho hao wengine hawana ishu pale
Utakuwa ni upuuzi mkubwa Dunia ya football hakuna right beki inakaba kama Bisaka sasa unamuuzaje badala ya kumuacha awe kama backup yaani akiondoka huyu halafu tukutane na mawinga aina ya Mitomy tumekwisha tutashikilia moyo mwanzo mwisho.










Man United kwenye dirisha la usajili wanasikitisha sana.





