Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kumbe ulikuwa unaiogopa timu iliyo nafasi ya saba, mpaka mechi yao hujaingalia , kweli UTD tunatisha rubaman

Sijuia link gani unaweza kuiona hiyo mechi tena, ila afadhali uangalie hiyo mechi ili umuone yule jamaa mzigo kuliko wote kwenye historia ya EPL
 
Last edited by a moderator:
mkuu umeonaje game nahisi kama kocha angemswitch position rooney kwa mata ili atawale dimba alafu sub ya mata angetoka valencia aingie janu,nahisi ingekuwa sub nzuri zaidi tungebadilisha aproach ya mechi maana hivi vitoto vilikuwa vimetushika kati pale...

Ningekuwa mimi ndo DM, leo ningemtoa Rooney na kumwinguza Adnan, ili Mata aende namba 10, halafu Adnan aende kwenye wings. Valencia nisingemtoa kwa ajili ya kukaba na kupiga counter. Ningemtoa Tom (ingawa alicheza vizuri sana leo) na kumwingiza Fellaini....

Hapo tungewapiga goli hawa #WakeZetu
 
Hahaha nilikuwa boksini mkuu. Man utd lazima game plan yenu ilikuwa kupata draw, lakini C.Palace watawagonga mechi ijayo DonDonald
 
Hahaha nilikuwa boksini mkuu. Man utd lazima game plan yenu ilikuwa kupata draw, lakini C.Palace watawagonga mechi ijayo DonDonald

Utd hatupakigi Bus ..... attacking football mwanzo mwisho .... mzigo Ozil ulikuwa unazunguka zunguka tuu
 
Utd hatupakigi Bus ..... attacking football mwanzo mwisho .... mzigo Ozil ulikuwa unazunguka zunguka tuu
Msimu wake wa kwanza EPL hakuzowea mpira wa England wa kukimbiza nguruwe, ameshachoka. Subiri umuone atakavyowazungusha England World Cup summer. Afu kitu kingine hatuna anacheza na kina Giroud, sijui Giroud aliwezaje kuwa mcheza mpira ktk ligi kubwa duniani? Kina kizota, Chumila, Mogella walikuwa wanakipiga kuliko wachezaji wengi wa ulaya dizaini ya Giroud, Fellaini nk sema walizaliwa Afrika
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Kule itakuwa off hadi tubebe Kombe kama anavyofanya mshikaji wa liverpool LoL
nimecheka mpaka basi he he he nimewasoma lol na wish iwe hivyo na ndio fikra zangu ila ni ndoto tu za alinacha sizani kama itakuja kuwa he! he! Leo hatukuhitaji Cross 81 kumfunga Fulham.
 
Hah! Rooney leo katukosesha ushindi....

Haya #OrijinoMburukenge njooni na kelele zenu hapa...

Cc: Mbu Balantanda

.....ahhh
Leo sina msemo kaka,
Giroud kanikera mpaka bhaaaasss...

Nikiendekeza haya machungu,
Nitaukosa buree usingizi wangu...
Tomorrow is another day....

Mmejipaitia pwenti ya ubwete leo,
Fair play.

#MosQw !to.
 
Last edited by a moderator:
nimecheka mpaka basi he he he nimewasoma lol na wish iwe hivyo na ndio fikra zangu ila ni ndoto tu za alinacha sizani kama itakuja kuwa he! he! Leo hatukuhitaji Cross 81 kumfunga Fulham.

Cross 81 na kona kibao na bado hawapoteza ushindi.... ebana kule ume-deactivate afu hapa unakuja mkishinda na kipindi cha usajili tu lol
 
Utd hatupakigi Bus ..... attacking football mwanzo mwisho .... mzigo Ozil ulikuwa unazunguka zunguka tuu

Singasinga mweusi nakuona siku hizi unamsaidia Nzi hapa na Belo he he he! Don mwenyewe ila Ozil Mkali ila hajazoea kugongwa na kina Cattemole kina Nzonzi wanaweza kukuvunja wakamtoa Macho zaidi! Kashazoea kuguswa na Eniesta! Ila Mtoto Adinan Mkali bwana dogo Cross za Mguu wote zinafika England waakimchukua wataharibu watoto wote wa nchi za watu hata sijui vp United hawafungi kwa Cross za Junazaj. England watamuharibu Raheem,Zaha(kashaharibiwa na Moyes) na akienda Adinan.
 
Hahahah kijana umefufuka .... mlipokuwa 1-2 down leo hukutaka kabisa kuwasha computer, Raheem summer anakuja kucheza na wataalam wenzake wa Old Traford
 
DonDonald, Mama Hassan hali yake siitakuwa mbaya? Manake anashinda na Kanga ya Man united mpaka sasa imechakaa bado kuchanika aifanye tambara la kudekea he! he! he! Rubaman yupo naye karibu ataenda kumsaidia Shemeji!
 
Mama Hassan kakasirishwa na mwenendo wa Man utd khanga kaificha sandukuni, anavyaa viwalo vya Nets na Knicks tu.
 
Ozil ni flop kuliko Reyes au Shevchenko Pazi

Tangu Ozil aje EPL ameonyesha kiwango kikubwa kuliko kina Cleverly, Carrick, Mata walichofanya katika EPL career zao. Msimu ujao atakuwa moto wa kuotea mbali..Afu Man utd na Chelsea mnaongoza kuwa na ma-flop wengi kuliko Arsenal.
 
Kwa timu yenu ya Arsenal Ladies? kama hiyo inawezekana
Ladies hata siuongo wananafasi Kubwa ya kuweka Sanamu la Eboue au Senderos Pembeni ya Henry na Begkamp kuliko kushinda hata Double wengine timu zao wakiamuwa kuweka Masanamu ya Legend naona watavunja ukuta waweke masanamu.
 
Back
Top Bottom