Thanks Moyes ni bora kufungwa na Timu Nyingine zote sio Arsenal wangeongea sana mwaka mzima. Hongera De Gea kwa kutuweka mjini.
Glory Glory Man Utd. usiku mwema wadau
Acha kujipendekeza. Arsenal walipigwa tano na a very very good team.
Don't take credits from Liverpool kwa kuibamiza Arsenal bao tano.
Man Utd wame-draw tena nyumbani kwake na timu inayoshika mkia.
hata hivyo, you can neither compare Liverpool and Fulham nor Man Utd's current form and Arsenal.
Hakuna hatua yoyote waliyopiga.
Mna bahati tulikuwa na Giroud angecheza Walcott tungeshinda lol
Game naiona ya kikuda no any attack
Krosi ya Sanya ilikuwa noma...
Acha kujipendekeza. Arsenal walipigwa tano na a very very good team.
Don't take credits from Liverpool kwa kuibamiza Arsenal bao tano.
Man Utd wame-draw tena nyumbani kwake na timu inayoshika mkia.
hata hivyo, you can neither compare Liverpool and Fulham nor Man Utd's current form and Arsenal.
Hakuna hatua yoyote waliyopiga.
Lol leo naona hata kule kwingine account yako itakuwa activated
Dah! Leo RvP angekuwa na goli 2 hapa...dah!
Young naona anataka kuingia hapa....dk ya 80....