Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Vingi sana kwan ww unaifananisha man u na Madrid kwa vitu vipi mkuu?....kwanza timu haina mvuto wa kuwapata hao wachezaji wote ulio wataja labda baadhi tu
Katika wachezaji wote niliotaja wote ni average players wanaweza kusajiliwa na timu yoyote na bajeti zao siyo kubwa sana.
Pia wanatoka kwenye timu ndogo sana kulinganisha na Man U.
 
Then unaenda Liverpool unabeba Milner
Keita
Vvd
Henderson
Ox
Na Saint Anne kama kifungashio
 
Ukimaliza hapo unakimbia kama mwehu mpaka simba unambeba Onyango na Bocco

Then unapaaa mpaka pale Congo unamchukua Didier kavumbagu
 
Matajiri wame shindwa ku update ata facilities sio hayo matofali ya kuchoma ya toka 90's
Ndiyo tatizo letu kubwa lakini wachezaji niliotaja ni Harry Kane tu ndiyo anaweza kuwa Price tag ya 100.

Wengine 50, 30, 40.
 
Ten Hag atakuwa na kila aina ya winger. Kazi kwake.

Amad, Pellistri, Sancho, Antony, Rashford, Garnacho, Greenwood & Elanga.
Amad bora aendelee kukaa huko huko azidi kupata game time.

Kurudi united na kuendelea kutotumika itakula kwake. Atasugua benchi.

Kuna wachezaji wa kuondoka United kama huyo Elanga hata kwa mkopo waende.

Tuna mizigo ya kuimwaga baharini.
 
Huo usajili wako utakuwa umepewa £ 1 billion.
 
Fan base ya Man U ni kubwa kuliko Madrid, utajiri wa Man U unalingana na Madrid
Watu wanaangalia mafanikio uwanjani.

Madrid wapo kwenye league yao peke yao.

Tuache kwanza kujilinganisha nao.

Tupambane kuangushe ufalme wa Man City kwanza. Tukimaliza ndo tuhamie Madrid.
 
Ndiyo tatizo letu kubwa lakini wachezaji niliotaja ni Harry Kane tu ndiyo anaweza kuwa Price tag ya 100.

Wengine 50, 30, 40.
Ten Hag ameshasema ameanza kupanga timu yake kwa msimu ujao.

Kazi kwa owners.
 
Watu wanaangalia mafanikio uwanjani.

Madrid wapo kwenye league yao peke yao.

Tuache kwanza kujilinganisha nao.

Tupambane kuangushe ufalme wa Man City kwanza. Tukimaliza ndo tuhamie Madrid.
Man City siyo mfalme ila amekuwa consistent tu kimafanikio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…