Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,741
- 3,315
Wakawaida sanaMartinez, casemiro, ericksen hao nao wameflop???
hamis kaja kwa id nyingine
Mwamba sana huyu Werghost..nimesikitika sana kusikia huyu mwamba tunamuacha aondoke tunabaki na Martial. AIBU KUBWA HII.
Chambuzi za hamis kabisaa yanW jamaa ni mtafiti sana me najuaga kama huyo ni Hamis kitambo kuna vitu vitatu ambavyo wanafanana
amka usingizini mkuuJust imagine dirisha la usajili linafunguliwa.
Unaenda pale Spurs unabeba Haryy Kane, Son na Emile Hojberg, then unaenda Inter Milan unabeba Nicolo Barrela na Francesico Accerbi na Denzen Dumfries unaenda Bundesliga pale RB Liepzig unabeba Josko Gvardiol na David Raum then unaenda RB unaenda Salzburg unabeba Benjamin Sesko. Unarudi EPL unaenda Soton unaokota Romeo Lavia na Pale Westham unaenda kumchukua Lucas Paqueta.
Then unarudi OT unamrelease, Anthony Martial, Weghorst, Eriksen, Brandon William's, Phil Jones, Eric Bailly,
Then unamuuza Fred, Mc Tominay anaenda Westham kwa exchange na Paqueta, unamuuza kwa mkopo Anthony,Unauza Maguire, Malacia unampeleka kwa mkopo Ac Milan.
Then unaenda sasa preseason tour USA.
Kujiandaa na ligi.
Hahah! Ndoto hizi.Just imagine dirisha la usajili linafunguliwa.

Madrid alifanya hivyo 2009, 2010 na 2011.Hahah! Ndoto hizi.
Mmh kuchanganyikiwa huku endelea kucheza PSJust imagine dirisha la usajili linafunguliwa.
Unaenda pale Spurs unabeba Haryy Kane, Son na Emile Hojberg, then unaenda Inter Milan unabeba Nicolo Barrela na Francesico Accerbi na Denzen Dumfries unaenda Bundesliga pale RB Liepzig unabeba Josko Gvardiol na David Raum then unaenda RB unaenda Salzburg unabeba Benjamin Sesko. Unarudi EPL unaenda Soton unaokota Romeo Lavia na Pale Westham unaenda kumchukua Lucas Paqueta.
Then unarudi OT unamrelease, Anthony Martial, Weghorst, Eriksen, Brandon William's, Phil Jones, Eric Bailly,
Then unamuuza Fred, Mc Tominay anaenda Westham kwa exchange na Paqueta, unamuuza kwa mkopo Anthony,Unauza Maguire, Malacia unampeleka kwa mkopo Ac Milan.
Then unaenda sasa preseason tour USA.
Kujiandaa na ligi.
Hii n Man u sio MadridMadrid alifanya hivyo 2009, 2010 na 2011.
Man U anazidiwa nini na MadridHii n Man u sio Madrid
Vingi sana kwan ww unaifananisha man u na Madrid kwa vitu vipi mkuu?....kwanza timu haina mvuto wa kuwapata hao wachezaji wote ulio wataja labda baadhi tuMan U anazidiwa nini na Madrid
Katika wachezaji wote niliotaja wote ni average players wanaweza kusajiliwa na timu yoyote na bajeti zao siyo kubwa sana.Vingi sana kwan ww unaifananisha man u na Madrid kwa vitu vipi mkuu?....kwanza timu haina mvuto wa kuwapata hao wachezaji wote ulio wataja labda baadhi tu
Fan base ya Man U ni kubwa kuliko Madrid, utajiri wa Man U unalingana na MadridVingi sana kwan ww unaifananisha man u na Madrid kwa vitu vipi mkuu?....kwanza timu haina mvuto wa kuwapata hao wachezaji wote ulio wataja labda baadhi tu
Real Madrid kwenye dunia ya soka wameshatengwa wapo peke yao.Madrid alifanya hivyo 2009, 2010 na 2011.