Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,409
In a way nakubaliana na hii prediction yako. Nahisi watashinda against Bournemouth tu.Gemu 4 mtashinda 1 draw 2 lost 1
Points 5+65=70
Liverpool atashinda mechi zote 3 points 71
Dalili ya mvua Ni mawinguAnakwenda msimu wake wa pili sasa..huo ndio tutamhukumu uwezo wake vizuri..
Swala la hakupewa targets zake litakosa nguvu kiasi..uza nunua ama boresha kilichopo..au omba kulinda Wasifu kwa matumizi ya baadae..
Pengine ashaona ubovu wa management (hawapo serious).Dalili ya mvua Ni mawingu
Kitendo cha kuwaongezea na kuwapambania wabaki wachezaji Kama Degea inaonesha kabisa Nini kinakuja mbele nikionacho anaenda kumuachia mzigo mzito Sana atakayeichukua timu baada yake Kama na yeye alivyoachiwa kazi ya kuondoa mizigo
Kocha ajaye atatakiwa kuwaondoa Anthony wa, kina Degea ,Fred , n.k
😂 Watu hawaelewi. Ten Hag anajua akijiponza akauza wakina Dalot, De Gea halafu timu ikabaki mikononi mwa Glazers msimu ujao atacheza GK au RB yeye.Pengine ashaona ubovu wa management (hawapo serious).
Bora kufa na tai kulinda Kibarua chako kulko kujikuta Ranginick..dunia ya watu hii..ajira ngumu
Anakera sn kila shuti analopiga anataka azungushe/apige ndizi.. kuna move za counter nyng anaziua unakuta anapewa mpira tupo kwny counter anatulia kumsubir adui aje ampige chengaMi nilishawahi kuuliza hapa accuracy ya anthony iko wapi maana pass butu vishuti uchwara etc
Ndiyo utaelewa kwanini timu kubwa hazimfuati Alan Saint Maximin na Pepe aliondoka ArsenalAnakera sn kila shuti analopiga anataka azungushe/apige ndizi.. kuna move za counter nyng anaziua unakuta anapewa mpira tupo kwny counter anatulia kumsubir adui aje ampige chenga
Aahh kmmk ten hag ni kijana 🤣🤣🤣Mashabiki wa Arsenal mna muandama sana ten Hag..
Ni kweli hayupo daraja moja na kina Pep, Carlo, Jurgen and co..
Lakini ni kocha mzuri kijana anaeibukia..
Manchester United ni timu kubwa na matatizo yake ni makubwa,, ikiwa ni yeye basi itahitaji muda kupata timu nzuri..hii itaambatana na back up ya wamiliki na uongozi kama watabadilika.. bila hivyo nae atafeli na mduara utaendelea..
Chelsea wamekuwa wakipata makombe kwa njia ya kushtukiza.. fukuza huyu, leta yule, weka hamasa mpya, chukua kombe, mduara unaendelea..
Ten Hag bado ni kocha kijana anajifunza.. tunamtakia mabadiliko ya haraka..
Kosa ni kwamba timu aliyopo ina kisuli suli..wala sio uwezo kuwa mdogo..
Kipanga wa UDSM kapekekwa MASSACHUSETTS
Aahh kmmk ten hag ni kijana
Ujana mwisho miaka mingapi wakuu
Dingi kashasoma upepo..Watu hawaelewi. Ten Hag anajua akijiponza akauza wakina Dalot, De Gea halafu timu ikabaki mikononi mwa Glazers msimu ujao atacheza GK au RB yeye.