Anakwenda msimu wake wa pili sasa..huo ndio tutamhukumu uwezo wake vizuri..Kuna tatizo ambalo linafumbiwa macho na halisemwi kabisa UWEZO WA KOCHA
Pamoja na kusema wachezaji wa man u wabovu bado Kuna talent mule kibao , kwa mpira wakuanzia chini bado Kuna wachezaji Kama Shaw ,Lindelof , bado Sancho Ni talent ,ile bajeti angenunua kipa walau angekuwa na Msingi wa anachokitengeneza
Naamini mwisho mashabiki watahoji uwezo wake
EPL Sasa bilia points 90+ hugombei ubingwa
Kocha ni mzuri tu ila ana kundi kubwa la wachezaji ambao hawajitumi uwanjani. Period.Kuna tatizo ambalo linafumbiwa macho na halisemwi kabisa UWEZO WA KOCHA
Pamoja na kusema wachezaji wa man u wabovu bado Kuna talent mule kibao , kwa mpira wakuanzia chini bado Kuna wachezaji Kama Shaw ,Lindelof , bado Sancho Ni talent ,ile bajeti angenunua kipa walau angekuwa na Msingi wa anachokitengeneza
Naamini mwisho mashabiki watahoji uwezo wake
EPL Sasa bilia points 90+ hugombei ubingwa
In a way nakubaliana na hii prediction yako. Nahisi watashinda against Bournemouth tu.Gemu 4 mtashinda 1 draw 2 lost 1
Points 5+65=70
Liverpool atashinda mechi zote 3 points 71
Dalili ya mvua Ni mawinguAnakwenda msimu wake wa pili sasa..huo ndio tutamhukumu uwezo wake vizuri..
Swala la hakupewa targets zake litakosa nguvu kiasi..uza nunua ama boresha kilichopo..au omba kulinda Wasifu kwa matumizi ya baadae..
Pengine ashaona ubovu wa management (hawapo serious).Dalili ya mvua Ni mawingu
Kitendo cha kuwaongezea na kuwapambania wabaki wachezaji Kama Degea inaonesha kabisa Nini kinakuja mbele nikionacho anaenda kumuachia mzigo mzito Sana atakayeichukua timu baada yake Kama na yeye alivyoachiwa kazi ya kuondoa mizigo
Kocha ajaye atatakiwa kuwaondoa Anthony wa [emoji817], kina Degea ,Fred , n.k
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😂 Watu hawaelewi. Ten Hag anajua akijiponza akauza wakina Dalot, De Gea halafu timu ikabaki mikononi mwa Glazers msimu ujao atacheza GK au RB yeye.Pengine ashaona ubovu wa management (hawapo serious).
Bora kufa na tai kulinda Kibarua chako kulko kujikuta Ranginick..dunia ya watu hii..ajira ngumu
Anakera sn kila shuti analopiga anataka azungushe/apige ndizi.. kuna move za counter nyng anaziua unakuta anapewa mpira tupo kwny counter anatulia kumsubir adui aje ampige chengaMi nilishawahi kuuliza hapa accuracy ya anthony iko wapi maana pass butu vishuti uchwara etc
Ndiyo utaelewa kwanini timu kubwa hazimfuati Alan Saint Maximin na Pepe aliondoka ArsenalAnakera sn kila shuti analopiga anataka azungushe/apige ndizi.. kuna move za counter nyng anaziua unakuta anapewa mpira tupo kwny counter anatulia kumsubir adui aje ampige chenga