Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ngoja nikuifadhi kabatini ili nisije kuona upuuzi kama huu tena.
Huyu mpuuzi msiwe mnamqoute hizo comments zake za matusi, sisi wengine zamani tulishampiga pini, hivyo mnapo mqoute mnatulazimisha na sisi tusome matusi yake.
 
Huwezi kua mjinga na kusurvive. Waambieni ndondocha wenu wote wanaozunguka nyuzi za watu
 
Timu na ya ole haina tofauti wallahi ushabiki tu mengine hovyooo. Hata kuwepo tulipo ni bahati tu hatustahili league inavyoenda mwisho ndo timu inazidi kuwa mbovu.
Tuko hapo tulipo kutokana na ubovu tu wa Liverpool na Chelsea msimu huu, laiti kama hizi timu mbili zingekua ziko njema kwa mpira huu tunaocheza sasa hivi tungekua tunapambania kupata nafasi ya kushiri Conference league.
 
[emoji23]Tujipe Moyo tu..safari ya kufika tulipowahi kuwa ni ngumu,, kama una mtoto yupo chekechea ni hadi afike advance..so sad[emoji22]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…