Tusubiri tuone tukiuza tutaongeza ngapi kwenye budget.Kane atauzwa 100 Million 🙏.Budget yaweza kuwa 110 Milion.
Bado tunahitaji kiungo,Beki wa kulia na winger wa kulia na ikiwezekana kipa.
Kwa uchache tunahitaji five new players.
Kheee kumbe huyu jasusi ten hag unajua mpaka kiswahili?Binafsi nikiona shabiki wetu anamu-attack Ten Hag huwa napata sana mashaka nae. Tulipokuwepo mpaka sasa ni hatua kubwa tena kuna watu humu wanajitoa ufahamu hakuna mtu aliyetupa nafasi hata ya kumaliza top 4 msimu huu.
Msimu uliopita tulishinda michezo 20 tu msimu mzima ila mpaka sasa tumeshinda michezo 37. Barani ulaya ktk ligi 5 kubwa ni sisi na Man City tulioshinda michezo mingi msimu huu (37).
Pia tulikuwa na clean sheets 8 tu ktk mechi 38 ila msimu huu tunazo 15 ktk mechi 32 EPL kuliko timu yoyote ile tukifwatiwa na Newcastle wenye 13 ktk mechi 33. Naamini tupo ktk njia sahihi ni swala la muda Ten Hag akijenga timu yake kamili tutarudi ktk reli.
Jumlisha uongereza wake.Sijui kwanini sitaki Kane ajiunge na man United.
Nikiangalia umri na fedha watakayotaka Spurs nadhani tungetafuta option nyingine.
Huyo Kane ukimnunua leo ukitaka muuza kesho huwezi tena.Martial amekuja hapo Manchester hakiwa na miaka 21 tu Mpaka leo katufanyia nini cha maana ni heli tupate Kane tumtumie hata misimu mitatu au minne tu.
Unatoa 100M kununua striker atakaeumia mnarudi kwenye default settings.Usisahau Ronaldo alikuja akiwa na miaka mingapi.
Wakati wa Jose alishapendekeza tumuuze Martial wenye Team wakamgomea.
Sijakataa Kane ni mzuri lakini fedha yake ingetumika vyema tungeweza kupata washambuliaji wawili.
Tatizo letu ukilitaza utagundua team ina passengers wengi sana.leo wakiumia Rashford,Bruno au Casemiro tunapoteza mwelekeo kabisa.Dirisha dogo tumchukua kwa mkopo ngongoti hana uwezo wa kukaa na mpira,hana uwezo wa kutoa pasi za uhakika,hana uwezo wa kufunga,hana uwezo wa kuokoa jahazi team inapokuwa katika wakati mgumu.Ukweli ni very average player hasiyestahili kuvaa uzi wa Man.
Kwanini Ngongoti alisajiliwa badala world class striker,jibu ni rahisi sana fedha nyingi zilitumika kunsajili Anthony.
Wasiwasi wangu tunaweza kutumia fedha nyingi kumsajili Kane tukaacha maeneo mengine mengi yanayohitaji usajili wa maana ikiwemo mlinzi wa kati,kulia na eneo la kiungo.
Kutoa 100M kumchukua Kane lazima kuwe na 400M nyingine pembeni ya kuziba hizo nafasi zilizobaki.Kane atauzwa 100 Million.Budget yaweza kuwa 110 Milion.
Bado tunahitaji kiungo,Beki wa kulia na winger wa kulia na ikiwezekana kipa.
Kwa uchache tunahitaji five new players.
Striker gani unaona atafaa kwa bei pungufu ya hiyo?Kutoa 100M kumchukua Kane lazima kuwe na 400M nyingine pembeni ya kuziba hizo nafasi zilizobaki.
Amissi tambweStriker gani unaona atafaa kwa bei pungufu ya hiyo?
Mbona wapo wengi tujatibu na Randal Kolo Muani wa Eintracht Frankfurt ni mzuri sana ana goal 13 mpaka sasa.Striker gani unaona atafaa kwa bei pungufu ya hiyo?
Unajisikiaje saa hii huko uliko wewe kengeeeKila la kheri Aston Villa
Nyumbu uropa fc inawaita
Maguire own goal
Ana maamuzi ya kijinga sn haswa upande wa sare kuna mechi km tatu sub zake zimefanya tumetoka sare.. angalia gem kama na sevilla ila tupo home rejea pia gem ya spursMuache kumlaumu kocha, katutoa mbali....na anafanya kazi kubwa tuwe bora zaidi....mm naamini akisajili tena atakuwa na sub nzur, na atafany vizuri....na aliahidi msimu wa tatu mmudai ubingwa either EPL au UEFA....TRUST THE PROCESS.
Operation ni kuifilisi MANCHESTERAna maamuzi ya kijinga sn haswa upande wa sare kuna mechi km tatu sub zake zimefanya tumetoka sare.. angalia gem kama na sevilla ila tupo home rejea pia gem ya spurs