Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Faza anajilia vyake
20230430_235248.jpg
 
Ana maamuzi ya kijinga sn haswa upande wa sare kuna mechi km tatu sub zake zimefanya tumetoka sare.. angalia gem kama na sevilla ila tupo home rejea pia gem ya spurs
Operation ni kuifilisi MANCHESTER
 
Huu ndio usajiri bora manchester united wamefanya ktk sajili zao anaweza kucheza hovyo baadhi ya mech ila haiondoi uhalisia kakosa washambuliaji makini

Assist yangu bora ya msimu aliipiga goli la pili mech ya arsenal bonge moja la assist toka kwa huyu fundi

Bruno Fernandes mnyama
IMG_4965.jpg
 
Tigo prepaid ni nini?
Security deposit ni nini?

Nimeiona kwenye menu ya tigo

Chief-Mkwawa
Unamaanisha postpaid? Ni huduma ya vifurushi kwa mkataba wa miaka 2, kila mwezi wanakuingizia bando husika mlilokubaliana hata kama huna hela, ukipata hela unalipa.

Security deposit ni kiasi unaweka kama dhamana incase usipolipa kifurushi cha watu.
 
Ndugu yangu Ostaz hamis77 jukwaa letu limepoa sana tunakuomba uje utuchambulie jinsi Nyumbu tutakavyofungwa na Brighton halafu Arsenyani atakavyompiga Chelsea, Newcastle, Brighton, Forest na Wolves kisha kutawazwa kua ni bingwa wa Premier League.
tapatalk_-1158663258_360x420.jpg
 
Ushindi wa Jana mmeokota pochi ya mzungu.
Chelsea nyinyi ni ndugu zetu kabisa, tunawaomba kesho msituangushe kupeleka matanga rasmi pale Emirates.


Chelsea ingawa hampo kwenye ubora wenu hivi sasa lakini tusisahau kuwa nyie ni:
- Klabu ya mwisho ya kiingereza kushinda Ligi ya mabingwa Ulaya

- Klabu ya mwisho ya kiingereza kushinda Europa League

- Klabu ya mwisho kutoka London kushinda kombe la Ligi kuu ya Uingereza

- Klabu ya mwisho ya kiingereza kushinda kombe la Super Cup

- Klabu ya mwisho ya kiingereza kushinda kombe la dunia la vilabu la FIFA

Chelsea nyie ndio FAHARI ya London sio hii misule ya Arteta.

tapatalk_-1619872729_360x488.jpg
 
BREAKING: Mason Greenwood thinks he is DONE at United and will never put the shirt on again.

[The Sun Football]
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |View attachment 2603367
He can go his asshole and deep his arm there and wait for a custody
 
Chief THE BLUES kwa sasa tunatembea peku kwenye mbigiri. Hizo sifa unazotupa tunashukuru ila kesho tukiwangusha msitukane.
Hizi kima za Arteta sasa hivi ziko very dispirited, mimi nina imani mtazifunga, na hata ikishindikana kuzifunga ila mnauwezo wa kutoa kudraw.
Hakikishe huyu marehemu Tembo asirudi tena juu ya mti hata kwa sekunde mbili.
tapatalk_-1065914115_642x618.jpg
 
Scenes from last night

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20230501_221328_067.jpg
 
Back
Top Bottom