Ili kuonyesha msuli wetu kwenye suala la manunuzi ya wachezaji,inatakiwa tuwavue barca huyu dogo De Jong. Mwisho wa siku EtH asipopata mafanikio tuliyoyatarajia wakati hatumpatii signings zake tutashindwa kumlaumu kwa uwazi zaidi.Manchester United wanamhitaji zaidi huyu jamaa
Hivi huyu dogo anapenda kwanza kuja kucheza Old Trafford??Manchester United wanamhitaji zaidi huyu jamaa
Hivi huyu dogo anapenda kwanza kuja kucheza Old Trafford??
Ili kuonyesha msuli wetu kwenye suala la manunuzi ya wachezaji,inatakiwa tuwavue barca huyu dogo De Jong. Mwisho wa siku EtH asipopata mafanikio tuliyoyatarajia wakati hatumpatii signings zake tutashindwa kumlaumu kwa uwazi zaidi.

Rio Ferdinand has been inducted into the Premier League Hall of Fame. 




















Kwenye kumuokoa isije kuwa alimshika kalio maana hawana dogo hawa 😀Marcus Rashford intervened in a nightclub earlier this month to save Aston Villa forward Alisha Lehmann from being swamped by a ‘mob of blokes’.
Though he had never met her, Marcus Rashford recognised Alisha Lehmann, inviting her into a private area of the club away from the crowds. [The Sun Football]
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐
man utd |View attachment 2606657
Ten hag akileta huyu magwaya mwingine ntamuamini yule bwana anaemuita jasusi
Hawa nao wanunue timu kazi ya wachezaji waachie wajuzi .isije kua kama chelsea pale








Aache utani huyuWout Weghorst wants to stay at #MUFC, but the club haven't entered into any talks over his future.
#TeleFootball
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐
man utd |View attachment 2608771
Huyu dogo Man United kumsajili itakuwa ni kutupa hela tu.Manchester United wanamhitaji zaidi huyu jamaa
Nina wasi wasi kama kijana wetu hajapewa HONGERA ya kiutu uzimaKwenye kumuokoa isije kuwa alimshika kalio maana hawana dogo hawa![]()

.