Alafu yeye anaenda kukosa ya mwishoDe gea penalty 10 huwa anaokoa 0 anafungwa 10
Huyo dogo wamwangalie aiseeHa ha haaaaaaaaaaView attachment 2597436
Sawa sawa mtoto akililia wembe mpe aibu sio yetu yaani City hii au mbeya city ?Nileteeeeni Man City
Timu ikipigwa ni noumer! Kuna watu walikua wanasubir Man Utd akandwe walete fujo humu.Ila mpira una starehe yake jamani no matter team yako inapigwa ama niaje.
Haya mtoto wa kike nilale sasa 🤣🤣⚽️⚽️❤️
Mpira hautabiliki mkuuIla nyumbu ni wabovu sana, hii timu inafanya mazoezi?
We acha tu mkuu!Kama siyo kile kiazi Harry Maguire sasa hivi tungekuwa tunasubiria nusu fainali ya Europa League.
Kumbe umekuja kututembelea leo😁Huyo dogo wamwangalie aisee
Asije lia sana akaishiwa maji mwilini
Sitaki 😂😂Haya kashii ulale sasa mtoto mzuri, usubiri fainali uone tutakavyonyakua hilo kombe!
MmenifurahishaKumbe umekuja kututembelea leo😁
Ambapo upo lile kumi la pili au ni blue ipi hahaSitaki 😂😂
#Blue is the color 💙👊🤸♂️