Amekosaaaaaaaaaaa.....Solly March anaenda kupiga sasa
Man Utd FainaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiSasa ni zamu ya Lindelof
Mmmh jamaani!Kaiga upande waliopita wenzake.
Matokeo yake amemwaga nje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hujaangalia eehee? Magoal yote nadhani kasoro la ushindi la Man U yamepita kulia.Mmmh jamaani!
Alafu yeye anaenda kukosa ya mwishoDe gea penalty 10 huwa anaokoa 0 anafungwa 10
Huyo dogo wamwangalie aiseeHa ha haaaaaaaaaaView attachment 2597436
Sawa sawa mtoto akililia wembe mpe aibu sio yetu yaani City hii au mbeya city ?Nileteeeeni Man City