The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Man u Ndio timu pekee duniani inayoweza kufuga matakataka na kuyalipa pesa ndefu.Scott McTominay is NOT on the list of players the club are actively looking to sell, but his future will depend on what happens this summer.
Maguire na De Gea wamegeuka kuwa changamoto kubwa sana kwetu.Maguire hawezi kucheza mchezo wa leo, amekuwa suspended
Mnatamani ashinde 8 ili 7 zenu zionekane kitu cha kawaida tu, si ndio?Spurs wanaua huko wanapiga kama mwizi[emoji375][emoji375]View attachment 2597171
Kila kocha mpya hua anakuja na falsafa yake pia hao Ajax wameuza wachezaji wangapi tegemezi kwenye kikosi chao cha kwanza?Kuna watu walikuwa wanasema EtH ni kocha wa kawaida tu kwasababu ligi aliyotoka kocha yoyote akipewa Ajax anabeba ligi.
Leo Ajax wanapokea kipigo kizito kutoka kwa PSV na huenda wakakosa Champions League msimu ujao.
Hiyo ni tofauti ya mwaka mmoja tu tayari Ajax wamepoteana.
Leo mpo na wazee wa build up kuanzia chini mtachomoka kweliKila kocha mpya hua anakuja na falsafa yake pia hao Ajax wameuza wachezaji wangapi tegemezi kwenye kikosi chao cha kwanza?
Una ushabiki maandaz mkuuHii ndio United ninayoijua..doa ni Martial tu hapo.