Anthony akiwa Ajax , Erevedise ligi ya wakulima alikuwa na 12 GOALS AND ASSIST
7 hag alikuwa nae pale Ajax ,hivo aikuwa anajua kabisa hili Ni FAMBA
Cha ajabu alipokuja manjesta kawadanganya mabosi Anthony Ni Gaucho mtupu , mashabiki wakasambaziwa Clip video za YouTube akipokea mipira kwa visigino .
JE 7HAG ANA UWEZO MDOGO WAKUSAJIRI AU ANAINUFAISHA AJAX KUPITIA MANJESTA?
Tulionya na tutaendelea kuonya hapa MLIPIGWA TENA PAKUBWA