Huyu dogo kama vipi apunguze mshahara aendelee nasi msimu ujao kama back up striker,anatupa namna tofauti ya kushambulia lang la adui. Ni kama namuelewa E7+3H
Daaaahhhh we jamaa hebu tupumzishe kidogo, tunakukaribisha kwenye jukwaa la Arsenal ukawape maneno mawili matatu ya kuwafariji na kuwatia moyo kwa kipindi kigumu wanachopitia kwa sasa.