[emoji23][emoji23][emoji23] hilo nalo neno.Ila Mungu fundi. Wakati tunalalamika 2 - 0 ni matokeo madogo katuonyesha ukuu wake kuwa hata hiko kidogo anaweza kukichukua.
[emoji16] Tushukuru kwa kila jambo.
Hapa ndio huwa naikumbuka city kwa nafasi tulizochezea sevilla alikua anakula tanoBaada ya kufunga goli la pili tukaanza kucheza kama walevi..EtH arekebishe mambo 2nd half tumalize hii robo fainali leoleo.
Ukweli mchunguTatizo la Ten Hag kuna wakati anajikuta genius sana.
Mapema tu yaani..Hapa ndio huwa naikumbuka city kwa nafasi tulizochezea sevilla alikua anakula tano
Aliumia nadhani.Hivi sababu ya kumtoa varane ilikuwa nini?
Muhujumu uchumi hapo MANCHESTER United
The Greatest defender in history of the game.Msalimieni Harry Maguire 😁😁
[emoji38][emoji38][emoji38]Julio kiwelu[emoji1787][emoji1787]Bora Julio kiwelu kuliko huyu chacha ten hag
Haka kafupi kameumiaLisandro martinez
View attachment 2587362
Bishoo kaingilia kazi za wanaume watakuua pimbi ww kifupi kama nyundo