Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Viungo wa boli wanarudi, sasa top 4 uhakika. Kuhusu suala la treble hilo ni lazima, medali za mshindi wa kwanza FA Cup & Europa League zinarudi Old Trafford.

Niletee Harry Kane.
View attachment 2578663
HIVI
Mbwa koko wahed.
Hivi kiwango cha Bruno Kimeshuka au ni mtazamo wangu tu mechi km ya nne namfuatilia huwa anapoteza mipira mingi sana tena kirahisi sana au ndio amechuka wajuzi nipeni maneno
 
Nyumbu msijiliwaze......big 4 hamuingii timu lenu bovu
 
HIVI

Hivi kiwango cha Bruno Kimeshuka au ni mtazamo wangu tu mechi km ya nne namfuatilia huwa anapoteza mipira mingi sana tena kirahisi sana au ndio amechuka wajuzi nipeni maneno
Kimeshuka hili halina mjadala..

Jana alikuwa anafanya maamuzi ya kijinga jinga sana..but work rate yake hatupaswi kuipuuza.
 
Wachezaji 9 aliosajili 10hag

kikosi

Weghorst
Antony
Eriksen Casemiro Sabitzer
Malacia Martinez
Jack Butland

2-3 -1 -1 Formation



, , , Martin Dubravk amerejea
hiki kikosi Chake ukijazia wahenga ambao hawana tija
Ukitoa Bruno, Shaw, Rapha na rashford na wachache wengine wakuuza tu
 
Burnley wamepanda daraja, hongera kwa vicent kompany.
Hongera kwa josep guardiola.

Namsubiria ikay gundogan akiwa mkufunzi, kuna kitu nimekiona kwenye ubongo wake wa kiuchezaji, natumai atakidhihirisha pia kwenye ulimwengu wa ukufunzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…