Daaah bro hutaki tushinde kisa Hamis77? Acha hizo Mzee si Lazima tuwapige madongo? Au tumkane Hamis Ili usituombee Dua mbaya? Huu ubingwa hatujaugusa miaka mingi sana aisee acha tuuonje japo kidogo
Ongezea katika hizo takwimu, 10 Hag kashinda Carabao Cup, yupo robo fainali na anapambania FA na Europa.
Katika hizo tawimu OGS alikua anapambania kombe gani lingine zaidi ya Epl?
@Forgotten unamatusi ya rejareja sana mtu wangu, yaani Arsenyani hawahawa ninaowajua mimi ndio unawashauri wamsajili Osimhen?
Ni sawa na kipindi cha mafuriko kuwashauri wale watu wanaoishi mabondeni wanunue nyumba Osterbay ili kuepukana na adha ya mafuriko ya mara kwa mara.
Ongezea katika hizo takwimu, 10 Hag kashinda Carabao Cup, yupo robo fainali na anapambania FA na Europa.
Katika hizo tawimu OGS alikua anapambania kombe gani lingine zaidi ya Epl? View attachment 2575956