Di Matteo alijua utamaduni wa Chelsea; amecheza timu hiyo pia anajua timu ili ishinde inahitaji mambo gani.
Nyinyi majirani zetu poleni sana DMOYES, hajui .. mngekuwa na Steve Bruce, Eric Cantona au Mark Hughes hali ingekuwa tofuati kwa sababu hao wanajua United huwa inafanyaje kushinda; poleni ndo mpira kuna wakati unakua juu kuna wakati unabaki chini;
Morinyo hajacheza kabisa mpira but still amepata mafanikio kwenye ukocha.David Moyes amecheza soka
Huu NI UONGO!
Uongo ni upi,
Morinyo amecheza soka ?
Morinyo hajapata mafanikio ?
Moyes hajacheza soka ?
Utamaduni wa kupaki bus? Hebu tuambie Di Matteo alikuwa anajua Utamaduni wa gani wa Chelsea na kwa nini alifukuzwa?
Jose Morinyo hajacheza kabisa soka aliujua wapi utamaduni wa Chelsea
Binafsi nilitegemea SAF akiondoka timu itatetereka, still naamini Moyes anahitaji muda
Utamaduni wa kupaki bus? Hebu tuambie Di Matteo alikuwa anajua Utamaduni wa gani wa Chelsea na kwa nini alifukuzwa?
Jose Morinyo hajacheza kabisa soka aliujua wapi utamaduni wa Chelsea
Binafsi nilitegemea SAF akiondoka timu itatetereka, still naamini Moyes anahitaji muda
[TABLE="class: infobox vcard"]
[TR]
[TH="align: left"]Years[/TH]
[TD]Team[/TD]
[TD="align: right"]Apps[SUP][/SUP][/TD]
[TD="align: right"](Gls)[SUP][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]19801982[/TH]
[TD]Rio Ave[/TD]
[TD="align: right"]16[/TD]
[TD="align: right"](2)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]19821983[/TH]
[TD]Belenenses[/TD]
[TD="align: right"]16[/TD]
[TD="align: right"](2)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]19831985[/TH]
[TD]Sesimbra[/TD]
[TD="align: right"]35[/TD]
[TD="align: right"](1)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]19851987[/TH]
[TD]Comércio e Indústria[/TD]
[TD="align: right"]27[/TD]
[TD="align: right"](8)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Total[/TH]
[TD][/TD]
[TD="align: right"]94[/TD]
[TD="align: right"](13)[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
That is Jose Mourinho for you...and he was a CENTRAL MIDFIELDER FYI!!!!!
#mburukenge #mtazoeaTU
Tegua kitendawili cha Sizinga bana, "Ikishinda ya 7, ikishindwa ya 7"
sasa hapa mbona mnaniweka dillema kuna siku niliangalia interview ya mourinho bbc alivyoulizwa kwa nini hakucheza mpira ujana wake akasema hakucheza kwa sababu ametoka familia ya kitajiri,so that means mpira wengi wanacheza kwa kutafutia maisha,ambayo yy alikuwa nayo tayari
[TABLE="class: infobox vcard"]
[TR]
[TH="align: left"]Years[/TH]
[TD]Team[/TD]
[TD="align: right"]Apps[SUP][/SUP][/TD]
[TD="align: right"](Gls)[SUP][/SUP][/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]19801982[/TH]
[TD]Rio Ave[/TD]
[TD="align: right"]16[/TD]
[TD="align: right"](2)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]19821983[/TH]
[TD]Belenenses[/TD]
[TD="align: right"]16[/TD]
[TD="align: right"](2)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]19831985[/TH]
[TD]Sesimbra[/TD]
[TD="align: right"]35[/TD]
[TD="align: right"](1)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]19851987[/TH]
[TD]Comércio e Indústria[/TD]
[TD="align: right"]27[/TD]
[TD="align: right"](8)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TH="align: left"]Total[/TH]
[TD][/TD]
[TD="align: right"]94[/TD]
[TD="align: right"](13)[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
That is Jose Mourinho for you...and he was a CENTRAL MIDFIELDER FYI!!!!!
#mburukenge #mtazoeaTU
Tegua kitendawili cha Sizinga bana, "Ikishinda ya 7, ikishindwa ya 7"
Aise .... ..... .... kufungwa kubaya chacha nachikia Wine Romney katingisha kiberiti kama kimejaa kumbe kiko tupu kakwapua signature na mpunga wa laki tatu za malkia kwa wiki khe khe khe khe kjheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee patamu hapo ...... ... .... Judas naye anaona niaje aanze na yeye kutingisha?
BTW BJ usijali sana hawa mashoga dawa yake ni kuachana nao tu ..... ........ ....... nachikia Nzi kapata harufu ya uvundo ndio chababu habanduki hapo ..... ... si unajua tena shombo ikizidi he khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Weka link...!
Utamaduni wa kupaki bus? Hebu tuambie Di Matteo alikuwa anajua Utamaduni wa gani wa Chelsea na kwa nini alifukuzwa?
Jose Morinyo hajacheza kabisa soka aliujua wapi utamaduni wa Chelsea
Binafsi nilitegemea SAF akiondoka timu itatetereka, still naamini Moyes anahitaji muda
Unazungumzia soka la mchangani,tunazungumzia profesional football.Angalia hizo timu zilikuwa za madaraja gani,Jose yeye mwenyewe huwa anakiri hakucheza soka
1987 ambao ni mwaka wa mwisho kucheza soka alikuwa na miaka 24.Jose alitaka kucheza proffessional football alianzia youth team akashindwa kuanzia hapo akaanza kujihusisha na uskauti na ukocha
Msome vizuri hapo chini
Jose Mourinho Profile: "The second division was my level." | Soccerlens
Tegua kitendawili kwa nini timu yako Man Utd ikishinda inakuwa ya 7 na ikifungwa inabaki ya 7?
Sasa presha ya nini; huo huo wa kupaki basi na makombe tunabeba. wewe presha ya nini shabikia timu yako; usitake nifikiri kama unavyofikiri au vipi mwana? respecti my views.:fencing:
Meli ikianza kuzama panya wanakuwa wa kwanza kuchumpa majini. Soma hii habari Premier League: Anderson: Lots of United players want out | Football News | ESPN.co.uk watu kibao wameshaanza kuangalia maslahi yapo wapi.
Hao watamrahishia Moyes kazi ya kutengeneza timu,Wengi wao hawana viwango vya kuchezea Man United kwa sasa