Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Man Utd away vs top 9 teams:

Brentford 0-4
Man City 3-6
Aston Villa 1-3
Arsenal 2-3
Liverpool 0-7
Newcastle 0-2

They visit #Spurs on 27th April.
Hivi arsenal nayo nintop timu? Utop wa arsenal uko wapi ndugu zangu sio kwamba nakejeli naomba kuelimishwa.
 
Eti Rumours dah,
CR7 mwenyewe anafanya interview na pier Morgan kazungumza Hilo Jambo

Ole Guna pale manjesta hakuwa manager ,hiyo nguvu ya kusajili anayemtaka aliitoa wapi
Mwanzo tulikuwa tunajadili mambo tofauti kabisa na suala la Ronaldo kwenda City.

Ila ukaleta mambo ambayo hayahusiani na tunachojadili hivyo hata comment yangu ilikuwa ina-refer tunachojadili.
 
Mh unakua mgeni sasa siyo? Hua tunasikia fununu, kukanusha kisha tunasikia kitakachokua
Zilishakuwa rumours na sasa hivi ni facts kwasababu Rashford mwenyewe kakanusha hilo suala.
 
Ila pia akagongwa 7 na hizi za jana jumla 9
 
Tukiweka ushabiki pembeni bado hatuioni manjesta ya kuifunga Brighton na Brentford ,

Tuliona Vs Fulham had walipopata 3 red cards ndipo mkapata matokeo

Brighton katikati Caicedo & MacAlister ,

Winga Soli March na Mitoma

Buildup inaanzia chini kabisa ,Bado sioni Manjesta yakuifunga Brighton na Brentford

Mpaka mechi ya mwisho huenda manjesta akamaliza nafasi ya 6-7
 
Potter tayari bado 7 Hag
Huyu msimu ujao watamtimua X mass, maana msimu ujao patakuwa hapatoshi

Klopp alimleta Allison na kuachana na kina Simon mignolet

Pep alimleta Bravo then Ederson na kuachana na Stopper Joe hart

Arteta aliuza Leno na Martinez (best GK right now ) na kumleta Ramsdale


7+3 hag anaogopa kumuondoa Degea
 
United got the worlds best CDM, CBs, winger and SAF regen at the helm. Utd revolutionised AND STILL they’re on the same points as they had last season with Rangnick.

Digest that.
 
Wewe jamaa naona umeshikilia bango la build up kuanzia chini muda mrefu sasa mara soka safi unataka timu zote ziwe na philosophy moja?. Hilo soka lenu safi mnalocheza mwaka wa 20 huu hamna kombe la ligi. Hilo soka lenu safi enzi za mzee Wenger mmekula vichapo vya kutosha toka kwa wanaume wanapiga counter. Soka safi miaka imekata UEFA mnaisikia redioni. Watu wanataka matokeo na makombe na sio soka safi bila makombe.
 
Naona umekurupuka

Vipi kwanza matokeo ya Jana umeyapokeaje?
 
Tunaambiwa Graza waachie timu

Lakini jamaa wamemwaga pesa nyingi karibu au kuliko hata Sheikh Mansoor wa Mancity , utagundua mashabiki wa Manjesta haijulikani Wanataka nini

Hii inanikumbusha Kuna mgonjwa wa kichwa kufanyiwa surgery ya miguu na mgonjwa wa miguu kufanyiwa surgery ya kichwa

Ukiambiwa hii timu June walikuwa na bajeti ya usajili €250m lakini CF Ni GHOST unaweza kudhani utani

 
Hivi arsenal nayo nintop timu? Utop wa arsenal uko wapi ndugu zangu sio kwamba nakejeli naomba kuelimishwa.


Hii ni takwimu ya idadi ya mechi ilizoshinda (Kwa timu zote) kutoka EPL official site timu mbovu ikishika nafasi ya pili. Je umefahamu ukubwa wake unapotokea?
 
Another attacking right-back will come on the agenda if Wan-Bissaka is sold. Exploratory talks have been held about Benjamin Pavard, whose contract expires in 2024, while Ten Hag is a known admirer of Denzel Dumfries.
[@TheAthleticFC]
 
People close to #mufc say Ten Hag is sold on Harry Kane as his 1st choice for a new centre-forward, the absolute priority position.

He has a playing style that suits what Ten Hag sees as the centre-forward role. United staff feel the club would appeal to him.
@TheAthleticFC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…