@hamis77 wewe tunajua ni mnafiki ushawai kusema project ya Potter ipo vizuri na Potter ni kocha mzuri kuliko ten hag kiko wapi wewe na Potter wako.Kimbinu 7 hag hamfikii Thomas Frank, Di zerbi, Eddie Howe ,
Van gaal alichukua FA mkamfukuza itakuwa huyu had Sasa ana GD 4
Kocha kufukuzwa haimaanishi ni mbaya.@hamis77 wewe tunajua ni mnafiki ushawai kusema project ya Potter ipo vizuri na Potter ni kocha mzuri kuliko ten hag kiko wapi wewe na Potter wako.
A Tacticianmkuu kwahiyo Arsenal mnakocha?
Bado msimamo wangu Ni huo huo ,Potter alikuwa hana nguvu yoyote hapo chelkenge@hamis77 wewe tunajua ni mnafiki ushawai kusema project ya Potter ipo vizuri na Potter ni kocha mzuri kuliko ten hag kiko wapi wewe na Potter wako.
If Arsenal lose to Tottenham and we beat Crystal Palace on Wednesday then we beat Arsenal on Sunday. We will be on level with Arsenal!
Man United wazee wa kuombea njaa wengine lakini wanasahau ya kwao
Mmiliki anasajili mwenyewe anaingilia deals za watu ,Potter alikuwa NDIO MZEEKocha kufukuzwa haimaanishi ni mbaya.
Tuchel alifukuzwa Chelsea. Conte na Mourinho Spurs. Van Gaal United.
Kilichochochea Ole kuondoka cha kuletewa wachezaji hajawahi kuwataka ndiyo kimemkuta Potter.
Mmiliki anakuletea watu 5 wapya. Hawa wapya wana sifa zile zile za watu 3 ulionao kikosi cha kwanza. Lazima ufeli.
Manjesta Ni title contender lazima aongeleweBasi mjomba kila muda mipasho
Mjomba tugange yajayo,, Man U ni litimu likubwaaa mpk mnasahau kuongelea Cheltako
Wachezaji gan potter kaletewaKocha kufukuzwa haimaanishi ni mbaya.
Tuchel alifukuzwa Chelsea. Conte na Mourinho Spurs. Van Gaal United.
Kilichochochea Ole kuondoka cha kuletewa wachezaji hajawahi kuwataka ndiyo kimemkuta Potter.
Mmiliki anakuletea watu 5 wapya. Hawa wapya wana sifa zile zile za watu 3 ulionao kikosi cha kwanza. Lazima ufeli.
Astonvilla mnacheza nao lini ? Aisee Unai Emery toka aondoke Arsenal naona alienda kupitia Tena madesa yake
Astonivilla Wana mpira wakisasa kabisa , ukienda kibwege wanakupiga vzr kabisa
Jana nimewaangalia wanafanya buildup kuanzia chini wanashambulia kwa haraka , wanakaba kwa pamoja
Toka ameichukua timu Emery Ni Arsenal na city tu ndio wamemzidi kukusanya points
Hakuna asiyejua pale Chelsea ,Potter alikuwa Kama Bwege ,maana Bohely alikuwa mkurugenzi wa michezo yeye, chief negotiator yeye, kila kitu alikuwa anafanya yeye, kuhijack deals zote yeye,Wachezaji gan potter kaletewa
Kama huna hili jibu nenda katafute jibu ukipata rudi tuendelee kujadilianaWachezaji gan potter kaletewa
Hii ndiyo sababu kwanini sitaki kuona Arsenal wakibeba ubingwa wa EPL.Hata niliposema Anthony mmepigwa mlisema mie na chuki mwisho wote mliimba wimbo mmoja humu
You’ve conceded more goals than the worst Liverpool team of the decade and scored less goals. You have one league cup with the easiest draw of OAT to compensate.
Is this sounding like an era or Mourinho 16/17?
Hakuna asiyejua pale Chelsea ,Potter alikuwa Kama Bwege ,maana Bohely alikuwa mkurugenzi wa michezo yeye, chief negotiator yeye, kila kitu alikuwa anafanya yeye, kuhijack deals zote yeye,
Kama huna hili jibu nenda katafute jibu ukipata rudi tuendelee kujadiliana
Hivi unafuatilia mpira kweli au unaandika tu kwasababu stats zipo mtandaoni!?Ronaldo hakumsajili yeye mlimletea , Kuna tofauti gan Kati ya Ghost na Ighalo?
Ole aliweza kumaliza 3rd na 2nd EPL , huyu ETH ataishia kugombea top 4 ,kimbinu Ni mweupe Sana
Amejaa maneno mengi kuliko vitendo
View attachment 2574679
Rashford alikanusha kutaka £500k, hiyo tu inaonyesha jinsi gani hujui unachoandika.Chelsea na United hazijawahi kua na tatizo la wachezaji. Zote zina tatizo la kocha.
Mara nyingi nilikua nasema hivyo. Yaani ni kwamba hizo timu hata zikipata average coach mwenye mentality ya ushindi ni rahisi kuziona zinaperform. Tuchel kwa Chelsea alienda kuwabadili mentality players and wakacheza jihad.
Shida ya mentality ni kwamba haitokaa milele ndiyo sababu msimu huu ulipoanza chelsea was in shambles. Kisha Tuchel akaprove kua miyeyusho kumuachia Rudiger n.k
So what if mentality anayoinstill Erik kwa united itarun out na atahitaji kustep up kimbinu? Nafikiri tutashuhudia mno matokeo kama ya jana.
Una Winger wa 70+M Sancho, una winger wa 100M Antony. Una winger/ ST anayesema anastahili 500,000 kwa wiki you just need mentality hapa.
Nyie na nani? Wewe si shabiki wa Arsenyani.Wanasema tusubiri apewe watu anaowataka