Huo ndio unaona utofauti? Muda utaongeaOle gunner hana kikombe miaka yake 5+ aliyokaa hapo Ten Hag alishanyanyua kwapa
usijikute unaifahamu sanaa timu yetu Sheikh... Uchambuzi uchwara wako tumeuchoka uko bias... so tulia tuu
Ole kwa ETH hawezi mfukia kimbinu Ole alisajili mastreiker kina Ighalo, Cavani na Ronaldo akashindwa kuwatumia yaani anamuweka benchi Ighalo dhidi ya Martial the same kwa Cavani Ighalo huko Saudi anayatupia tu kamzidi hadi CR7.Nafikiri Erik ni firm decision maker kuliko Ole
Ole alikua hajui wapi pa kushambulia wapi pa kupaki basi yeye aliamini united inastahili kutamkwa kwenye sentensi moja na timu kama Bayern, Madrdi au City. Erik yeye ameopt kupaki basi na kutegemea zaidi counter, ameamua kukubali kwamba kikosi chake hakitoshi.
Huko kukubali ni alarming hata hivyo ukizingatia ametumia pesa nyingi kuimarisha kikosi.
Kuna wachezaji Erik anawaweka bench ila kwa Ole walikua ni starters hata iweje. Wote Erik na Ole wanajiamini kwenye hamna mfano choices zao za STs wa kuwasaidi kufunga wote wamekua hovyo kwenye hili.
Hata hivyo Erik bado anatakiwa kuprove kwenye swala la mbinu. Ni ngumu kidogo kuamini counter ikupe maisha kwa muda mkubwa
Msimu ujao mtacheza Europa ,Umeongea ujinga mtupu hamis77 . Nadhani huna zaidi ya miaka 7 toka uanze kushabikia mpira.
1. Kocha tayari ana Carabao (hakuna timu yoyote yenye kikombe mwaka huu)
2. Anasubiria kwenda finaly FA (arsenane alitolewa siku nyingi sana)
3. Anasubiri fainaly ya Europa
Makombe matatu anategemea msimu huu. Arsenane akifungwa ile mechi na Man City difference inabaki point 2 ha haaaa. Ikiwa bado mechi 9. Ni mjinga pekee anayewaza ubingwa akiwa na difference ya point 2 na bado mechi 9.
Mjinga kama hamis77 bado anaamini kile kikatuni kinarukaruka kwenye touchline ni kocha. Mwaka huu patupu tena fukuza kocha huyooooo.
Hawa itakuwa wanamuogopa ETH wanajua msimu ujao atakuwa kikwazo kwao baada ya kuleta straiker, beki na midfilder.Ole gunner hana kikombe miaka yake 5+ aliyokaa hapo Ten Hag alishanyanyua kwapa
usijikute unaifahamu sanaa timu yetu Sheikh... Uchambuzi uchwara wako tumeuchoka uko bias... so tulia tuu
Ronaldo hakumsajili yeye mlimletea , Kuna tofauti gan Kati ya Ghost na Ighalo?Ole kwa ETH hawezi mfukia kimbinu Ole alisajili mastreiker kina Ighalo, Cavani na Ronaldo akashindwa kuwatumia yaani anamuweka benchi Ighalo dhidi ya Martial the same kwa Cavani Ighalo huko Saudi anayatupia tu kamzidi hadi CR7.
Bro upo bias... nashangaa unatumia muda wako kuandika mabandiko marefu kwa chuki yako yan hata tufanye vip wewe upo kama mpondaji tuu.... huo upumbavu unaoandika kila siku ungana na kundi la watukanaji tujue moja..Huo ndio unaona utofauti? Muda utaongea
Unaanzaje kumuogopa Eth ? Kocha ambaye hata kusajili hawezi, Huyo Striker ,beki na Midfielder wepi?Hawa itakuwa wanamuogopa ETH wanajua msimu ujao atakuwa kikwazo kwao baada ya kuleta straiker, beki na midfilder.
Nipo bias au nasema ukweli?Bro upo bias... nashangaa unatumia muda wako kuandika mabandiko marefu kwa chuki yako yan hata tufanye vip wewe upo kama mpondaji tuu.... huo upumbavu unaoandika kila siku ungana na kundi la watukanaji tujue moja..
Sisi tuna kauli yetu Trust the process usingemuamin arteta ungekuwa ushamtimua
mmekaa na timu yako mnakula vipigo mnajifunza mnatulia... Now mnaona matunda
anyways we all born Manchester United Fans unatumia haki yako ya kikatiba shabiki wa kuzaliwa nayo
Kimbinu 7 hag hamfikii Thomas Frank, Di zerbi, Eddie Howe ,Hawa itakuwa wanamuogopa ETH wanajua msimu ujao atakuwa kikwazo kwao baada ya kuleta straiker, beki na midfilder.
Ndiyo nikasema wote wana maamuzi sawa kwenye swala la ST.Ole kwa ETH hawezi mfukia kimbinu Ole alisajili mastreiker kina Ighalo, Cavani na Ronaldo akashindwa kuwatumia yaani anamuweka benchi Ighalo dhidi ya Martial the same kwa Cavani Ighalo huko Saudi anayatupia tu kamzidi hadi CR7.
Eddie Howe watakua wako sawa. Mi naona tabia yake ya kujigamba ndiyo inamfanya asikubalike sana na wapinzani.Kimbinu 7 hag hamfikii Thomas Frank, Di zerbi, Eddie Howe ,
Van gaal alichukua FA mkamfukuza itakuwa huyu had Sasa ana GD 4
Matunda gani wakati wametolewa europe wakiwa nyumbani legue enyewe bado.Bro upo bias... nashangaa unatumia muda wako kuandika mabandiko marefu kwa chuki yako yan hata tufanye vip wewe upo kama mpondaji tuu.... huo upumbavu unaoandika kila siku ungana na kundi la watukanaji tujue moja..
Sisi tuna kauli yetu Trust the process usingemuamin arteta ungekuwa ushamtimua
mmekaa na timu yako mnakula vipigo mnajifunza mnatulia... Now mnaona matunda
anyways we all born Manchester United Fans unatumia haki yako ya kikatiba shabiki wa kuzaliwa nayo
Wanasema tusubiri apewe watu anaowatakaChelsea na United hazijawahi kua na tatizo la wachezaji. Zote zina tatizo la kocha.
Mara nyingi nilikua nasema hivyo. Yaani ni kwamba hizo timu hata zikipata average coach mwenye mentality ya ushindi ni rahisi kuziona zinaperform. Tuchel kwa Chelsea alienda kuwabadili mentality players and wakacheza jihad.
Shida ya mentality ni kwamba haitokaa milele ndiyo sababu msimu huu ulipoanza chelsea was in shambles. Kisha Tuchel akaprove kua miyeyusho kumuachia Rudiger n.k
So what if mentality anayoinstill Erik kwa united itarun out na atahitaji kustep up kimbinu? Nafikiri tutashuhudia mno matokeo kama ya jana.
Una Winger wa 70+M Sancho, una winger wa 100M Antony. Una winger/ ST anayesema anastahili 500,000 kwa wiki you just need mentality hapa.
mkuu kwahiyo Arsenal mnakocha?Chelsea na United hazijawahi kua na tatizo la wachezaji. Zote zina tatizo la kocha.
Mara nyingi nilikua nasema hivyo. Yaani ni kwamba hizo timu hata zikipata average coach mwenye mentality ya ushindi ni rahisi kuziona zinaperform. Tuchel kwa Chelsea alienda kuwabadili mentality players and wakacheza jihad.
Shida ya mentality ni kwamba haitokaa milele ndiyo sababu msimu huu ulipoanza chelsea was in shambles. Kisha Tuchel akaprove kua miyeyusho kumuachia Rudiger n.k
So what if mentality anayoinstill Erik kwa united itarun out na atahitaji kustep up kimbinu? Nafikiri tutashuhudia mno matokeo kama ya jana.
Una Winger wa 70+M Sancho, una winger wa 100M Antony. Una winger/ ST anayesema anastahili 500,000 kwa wiki you just need mentality hapa.
Ukimlinganisha Arteta na Lampard na Ole alioanza nao kazi sawa, na Erik kwa sasa Arteta kawaacha.mkuu kwahiyo Arsenal mnakocha?
sawa mkuu, tunawasubiri kwa hamu sana na najua mnajua hilo....Ukimlinganisha Arteta na Lampard na Ole alioanza nao kazi sawa, na Erik kwa sasa Arteta kawaacha.
Hii ni kwa kuzingatia kikosi ambacho kila mmoja alikikuta, decision making, support ya mmiliki na culture ya timu husika.