hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,622
- 27,310
7+3 hag ana profile ndogo maana umri wake Ni zaid hata ya Pep Guardiola ,lakini Manjesta mnadhan ndio anaanza kaziKwani Arteta na Ten Hag nani ana profile kubwa ?
7+3 hag ana profile ndogo maana umri wake Ni zaid hata ya Pep Guardiola ,lakini Manjesta mnadhan ndio anaanza kaziKwani Arteta na Ten Hag nani ana profile kubwa ?
Nakazia kuwa tangu 2012 Sir Alex Ferguson astaafu ukocha bado Man Utd haijafanikiwa kubeba EPL na UEFA champions league lakini bado ndiyo timu pekee ambayo haijawahi kuzidiwa na timu yoyote kwa kuwa na Mashabiki wengi zaidi, na hata kwenye top 5 kiuchumi duniani.Yani nyie arsenal ni timu ndogo yenye imejificha kwenye kichaka cha timu kubwa,ndo maana mnaona kama hizo hela nyingi sababu ni timu ndogo na aina hela.
Barcelona walitoa hela za kuwanunua
Coutinho
Dembele
Griziman
Na bado walitia timu asala kwa sababu ni timu kubwa uwezi kuta wanalalamika nyie mlitoa pound 70 tu kwa pepe mpaka leo mnalia unajua ni kwanini small team mentality.
Sisi hela zipo ndo maana hata kimafanikio sio saizi yetu tuna makombe yenye hamna kwenye kabati lenu.
Timu yenu inabidi mkubali tu ni timu ndogo ndo maana mna miaka kibao saizi Uefa mnaona kwenye TV tu.
Sisi kumwaga hela ni jadi yetu hata wakichemsha maboss watauza hata jezi tu.
Kwan Arsenal hatuna fan base sijakuelewa hojà yakoNakazia kuwa tangu 2012 Sir Alex Ferguson astaafu ukocha bado Man Utd haijafanikiwa kubeba EPL na UEFA champions league lakini bado ndiyo timu pekee ambayo haijawahi kuzidiwa na timu yoyote kwa kuwa na Mashabiki wengi zaidi, na hata kwenye top 5 kiuchumi duniani.
Hamis77 anapaswa kuwa na adabu asijipitishe pitishe tu kwa miamba bila ridhaa yenu wenye uzi wenu Man Utd Fans.

Nasikia pia wengi WA mashabiki wa united tofauti na Uingereza ikiwemo huku Africa ndo wanaotaka timu apewe muarabu...lkn wa palepale uingereza wenyewe wanamtaka muingereza man u supporter mwenzao ...cjui story za vijiweniSir Jim Komaa Komaa Timu Tunachukua Hiyo.
NB;Unaambiwa Jiji La Manchester Ni Picha Zake Tu,Amekuw Kipenz Cha Mashabik Wa Manchester United Katik Viunga Vya Jiji Hilo
Apewe Timu TuView attachment 2563716

Usifananishe Tactician Arteta na huo upuuzi wenuKwani Arteta na Ten Hag nani ana profile kubwa ?
Nyumbu mme ridhika na uwanja wenu wa matofali ya kuchoma kama mko makumbushoSir Jim Komaa Komaa Timu Tunachukua Hiyo.
NB;Unaambiwa Jiji La Manchester Ni Picha Zake Tu,Amekuw Kipenz Cha Mashabik Wa Manchester United Katik Viunga Vya Jiji Hilo
Apewe Timu TuView attachment 2563716
Hata Kuna kura zilipigwa ,Mashabiki wengi walipiga kura wanamtaka Sir JimNasikia pia wengi WA mashabiki wa united tofauti na Uingereza ikiwemo huku Africa ndo wanaotaka timu apewe muarabu...lkn wa palepale uingereza wenyewe wanamtaka muingereza man u supporter mwenzao ...cjui story za vijiweni
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Nasikia pia wengi WA mashabiki wa united tofauti na Uingereza ikiwemo huku Africa ndo wanaotaka timu apewe muarabu...lkn wa palepale uingereza wenyewe wanamtaka muingereza man u supporter mwenzao ...cjui story za vijiweni
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Mashabiki wa Man U wanamtaka Muarabu, Garry Neville alifanya Poll kwa Mashabiki wanaoenda uwanjani.Hata Kuna kura zilipigwa ,Mashabiki wengi walipiga kura wanamtaka Sir Jim
Wanaomtaka Muarabu wengi Ni huku nchi zinazoendelea
Nasikia huyu jamaa ni Chelsea fanSir Jim Komaa Komaa Timu Tunachukua Hiyo.
NB;Unaambiwa Jiji La Manchester Ni Picha Zake Tu,Amekuw Kipenz Cha Mashabik Wa Manchester United Katik Viunga Vya Jiji Hilo
Apewe Timu TuView attachment 2563716
Hata Kuna kura zilipigwa ,Mashabiki wengi walipiga kura wanamtaka Sir Jim
Wanaomtaka Muarabu wengi Ni huku nchi zinazoendelea


nchi zinazoendeleaHata hao waarabu nafikiri wanamiliki malaga FC ya spainMashabiki wa Man U wanamtaka Muarabu, Garry Neville alifanya Poll kwa Mashabiki wanaoenda uwanjani.
Speaking on the Gary Neville Podcast, the former Manchester United captain revealed he had polled a group of the club's supporters on Sunday and found the majority preferred the bid from the Qataris, over the offer from Ratcliffe - which could involve debt - or from an American investment firm.
There was significant condemnation of Qatar's human rights, workers' rights and stance on the LGBTQ+ community ahead of the World Cup and the bid from Sheikh Jassim has sparked debate about whether it is appropriate for him to become owner of Manchester United.
![]()
"There is some concern," he said. "[But] they want a debt-free club. They've become harmed mentally by debt, Man Utd fans, over these last few years.
"There's a feeling they want an ownership that can compete with the Middle East estates we have in this league, which is Saudi Arabia at Newcastle and Abu Dhabi at Man City.
Ratcliffe ana issue 2
1. Anamiliki timu inaitwa Nice ipo ufaransa na Hana tofauti na Glazzer anaiendesha ovyo
2. Hana hela ya kuinunua United anategemea Mkopo, amesema mkopo hatauingiza kwenye Club ila still Timu ina deni la kutosha na Ineos ni kampuni sioni hawa jamaa wakilipa deni na kutochukua Hela za Club
Karibia waqatar wote ni Al thani mkuu kama unavyoona Kim na Korea ama Nguyen na Vietnam.Hata hao waarabu nafikiri wanamiliki malaga FC ya spain
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app