Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Graza family waliwahi kutoa bajeti nzuri ya usajili

Madalali wakamleta Sancho kwa €80m ,misimu yote ana Goli 7

Leo anapigiwa kelele Graza aachie timu ,kosa lake Nini?

Graza family shikilieni hapo hapo hakuna kumuuzia mtu timu
IMG_20230323_155441.jpg
 
Graza family waliwahi kutoa bajeti nzuri ya usajili

Madalali wakamleta Sancho kwa €80m ,misimu yote ana Goli 7

Leo anapigiwa kelele Graza aachie timu ,kosa lake Nini?

Graza family shikilieni hapo hapo hakuna kumuuzia mtu timuView attachment 2562711
We jamaa mbona kuna mambo mapya mengi tu ya kuyaleta hapa kuliko unachokifanya hapa?
Jaribu kuendana na matukio ya wakati uliopo kuliko kujishusha hivi.
 
We jamaa mbona kuna mambo mapya mengi tu ya kuyaleta hapa kuliko unachokifanya hapa?
Jaribu kuendana na matukio ya wakati uliopo kuliko kujishusha hivi.
Unataka matukio gan ya Sasa ,wakati Graza wanakaza uzi hawauzi timu
 
Thomas Zilliacus (bidder to buy #mufc): “Any sport club ultimately should belong to its fans.

The current development, where billionaire sheikhs and oligarks take over clubs and control them as their personal playgrounds is not a healthy trend.”
1679582567301.png
 
American hedge fund Elliott Management have made an offer to buy a minority stake in Manchester United. The Glazers would still have control!
 
Chris Kamara: "I can exclusively reveal that I told Jose Mourinho to take him [Virgil van Dijk] to #mufc and Jose said, 'These lot won't give me the money for him.' Yeah, and he went to Liverpool." [BBC]
 
Zilliacus anapendekeza kila shabiki atoe USD 3, na wote tukifanya hivyo mashabiki tutamiliki klabu kwa 50%

Hakafafanua baada ya kununua klabu nani atabeba jukumu la kulipa deni la klabu, kutoa fedha za usajili na kuendeleza miundombinu ikiwemo kiwanja cha OT
 
Hoja niliyoweka na ulichojibu ni vitu viwili tofauti kabisa

Nilitegemea useme Huyo Muarabu mnayemtaka atakuja kufanya kipi kipya kwenye Usajili ambacho Graza hawajafanya

Ndio maana nikasema hata Mansoor angekuwa hapo manjesta Kama makocha Ni kina 3+7 hag Basi leo angepigiwa kelele anazopigiwa Graza family

Huwa nawauliza mnamtaka Muarabu aje atoe pesa za usajili €250m -€300m

Je hizi pesa si ndio kapewa Huyu 3+7hag akamleta mchezaji kupitia Yutubu kwa €100m na wazee kina casemiro ambao soon atarudi Tena kuomba Pesa asajili Kiungo mkabaji
Mbona Chief-Mkwawa kakuelekeza mara nyingi hapa kuwa wale vipara hela wanachota sio zao wale wameifanya timu kuwa na madeni ya kutisha kwa upumbavu wao.

Hatuwataki wale vipara sababu hawajai kutoa hela zao za mfukoni kununua mchezaji wanatoa faida ya kwenye club ndo wananunulia wachezaji.
 
Huu ndo ukweli hawajawahi hata kutoa 100 ya usajili, kifupi sisi hapa jukwaani tumetoa hela nyingi za usajili kuliko Glazzer.

Na usajili ulifanywa kwa lengo la biashara na sio ku improve team. Toka maamuzi ya Usajili yahamie Carrington tunaona sasa hivi usajili unafanywa kuziba mapengo.

Pia hao jamaa hawajafanya improvement kubwa yoyote ile ya nje ya uwanja kuanzia viwanja vya mazoezi, Old trafford, Academies etc vyote sio vya kisasa kama wapinzani wetu.
 
Hata akipewa Mansoor kwa makocha hawa type ya kina 7 hag, conte , Mourinho kwa soka la kisasa ,mtatafuta mchawi na hamtampata

Kocha unapewa pesa za usajili unaenda sokon unanunua Anthony kwa €100m mara Sancho kwa €90m ,magwaya kwa €80m , wanabisaka kwa €60m , list Ni ndefu

Je kosa la Graza Ni lipi Kama sio ubovu wa Recruitment na makocha wajanja wajanja

7 hag ameshtuka ligi ya EPL haina utani kwasasa anaogopa hata kumuondoa Degea , amefeki majeruhi ya Rashford maana bila huyo mngekuwa nafasi ya 10 na GD -20+
Kwani Arteta na Ten Hag nani ana profile kubwa ?
 
Back
Top Bottom