How Jaman m ona utani usiomaamaTuna imani na Manchester United bingwa wa EPL 22/23
Asernal sio wa kuongea kitu maana wao ni tiamaji tiamajiYaani we Shabiki wa Arsenal kukaa kileleni msimu mmoja.
Tayari Ushaanza kuizodoa Man U.
Tuliza mdomo kwanza uone timu yako itafika wapi.
Na habari za Glazer achana nazo hakuna unachojua.
Kwa nini 10hag hatumii wachezaji wengine.? Kuna timu nzima imekaa pembeni.Perfomance mbaya kama ile juzi dhidi ya Fulham, tutaendelea kushuhudia hadi msimu unaisha.
Sababu wachezaji wamechoka, mechi ni nyingi.
Kila baada ya siku 3 tuna mechi na zote ni muhimu.
Na ukizingatia hatuna wachezaji wa kucontrol mechi.
Subiri uone historia inajirudia msimu wa 4 sir Alex Ferguson time anaanza kazi MANCHESTER United zilikuwa zimebakia mechi 10 huku nafasi ya kwanza ikiwa Bolton wanderers walikuwa wanaizidi MANCHESTER United point 29 LKN MANCHESTER United end of the day wakatwaa ubingwa kwa kuizidi Bolton wanderers point 1How Jaman m ona utani usiomaama
Huyo mnaemuita kocha ni dalali wa Ajax hapo MANCHESTER UnitedKwa nini 10hag hatumii wachezaji wengine.? Kuna timu nzima imekaa pembeni.
Nathan
Dalot Victor Malasia William
Iqbal. Mainoo.
Elanga. Van de beek Ganacho.
Martial.
Hii iliwatosha sana Fulham











Qatar is preparing to make a new offer of 5.5 billion euros for Manchester United.




MamaeeeeQatar is preparing to make a new offer of 5.5 billion euros for Manchester United.
The deadline for submission of second takeover bids for #mufc is 21:00 GMT on Wednesday.
[FootMercato]
[Telegraph]
#TrustTheProcessETH
#UnitedfortheFans
#GlazerOUT
#GGMU
man utd |View attachment 2560440
Upo so yesterday.Kwa nini 10hag hatumii wachezaji wengine.? Kuna timu nzima imekaa pembeni.
Nathan
Dalot Victor Malasia William
Iqbal. Mainoo.
Elanga. Van de beek Ganacho.
Martial.
Hii iliwatosha sana Fulham.. weka academy wapige games
Wakuu utajiri huu hapa kwa Allypipi.Matokeo yalikuwa yanajulikana tu Angalia mechi zote tulizocheza kwenye FA.
Manchester United have won every game of the FA Cup 3-1 so far
Manchester United in the FA Cup (22/23):
Everton: 3-1 W
Reading: 3-1 W
West Ham: 3-1 W
Fulham: 3-1 W![]()
Ila mkuu unavyosimulia mimi naishia kucheka tu, sasa nyie msio na janja mbona mpaka sasa hamna kombe na mna matumaini hewa ya kuchukua EPL huku Mkiwa na kiporo na Haland.Huyu kocha Ni mbahatishaji, sitashangaa msimu ujao asifike disemba
Hata Conte alipambwa Sana last season ila tulionya mpira wa janja janja haunaga muda mrefu
Tuliona kwa Ole Guna alifika had nafasi ya 2 Epl , fainal Europa , kwa janja janja ,mwisho alikutana na dhahama na Project uchwara ikafa kifo Cha mende
Sasa huyu 3+7 hagambaye Fulham , Brentford, Brighton, Newcastle zinamsumbua mpaka asubiri miujiza kazi ipo