christeve88
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 3,150
- 5,066
Na katika top 6 ndio timu iliyofungwa mechi chache kwenye michuano yote hapo unasemaje.Unakumbuka goli ulipata dk ya ngapi goli la 2?
Performance mbovu
Kama watu wanawonea aibu kuwaambia mm nitawaambia mna timu mbovu
Katika wale top 10 wewe una GD 6











