Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwa kweli ubovu wa Moyes uko kwenye kufanya substitution ingawa bado tuna imani nae sana. Fletcher alikuwa mtu sahihi sana baada ya Jones kuumia

Ni kweli leo alichemsha subs....lakini kuchemsha kwake katika subs hakumfanyi kuwa hafai kuwa kocha wa United!

Pamoja na udhaifu wetu leo, hata hivyo pongezi ziende kwa Stoke, jamaa wanajua kufight hapo kwao, Chelskis mwenyewe alilala hapo dakika za majeruhi...hiyo aina maana nakubaliana na matokeo, la hasha...matokeo yanauma sana ukizangatia Everton wameshinda....anyway, realistically, sasa ni kufight for a 4th position to the death....6 points or 9 points if Loserfools win kesho, inawezekana kuziclose....itabidi tuchukue uzoefu wa akina Mbu na mwana mpotevu BAK katika kufight kwa 4th place....ni ukweli unaouma, lakini inabidi iwe hivyo katika kujipanga kwa msimu ujao...
 
Last edited by a moderator:
Reactions: Mbu

we are all behind Moyes, we know he will have to build a team of his mind, but today MU fans are disappointed with the sub he made after Jones was injured. It was a simple mathematics to bring in Fletcher to cover deep midfield when Carrick had to drop to the defense. The moment Rooney was discharged from the forward line, we tumbled
 



Haka kajukwaa kananuka sana naona
Nzi wameshamiri khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee

Whats the
Mata now!
 



Strained - Mata looks in pain after picking up a knock in the second half

Maumivu yakizidi mwone daktari wa JF khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeee
 

What you are saying, I have already said so in my previous post...
 




Dejected- Mata and David De Gea trudge off
the pitch after another defeat
.... .... .... na bado Manure wanashinda kwa kuzawadiwa ushindi
kale ka-manager ka Cardiff kaliwapa ushidi wiki iliyopita
kamezawadiwa Zaha khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Behind Mo No those who know nothing about football phew! khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee story iliyopitwa na wakati.
 
Reactions: Mbu
Au leo Mata hakucheza wadau, maana timu mdebwedo balaa.

Mourinho alijua hamfiki popote ndio maana akawauzia Mata.

Timu Majanga.!!
 


Khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 


At least he did what he is supposed to do, to score....



And he was United's MOTM for the 2nd consecutive game...

 

Attachments

  • 1391292082085.jpg
    93.8 KB · Views: 191
  • 1391292108572.jpg
    64.7 KB · Views: 196
  • 1391292124251.jpg
    73 KB · Views: 198
  • 1391292152053.jpg
    112.1 KB · Views: 196
  • 1391292174439.jpg
    79.1 KB · Views: 195







Wacha we! khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee























khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeee



 
Reactions: Mbu

......hehehe, mwenzenu mfarisayo keshawakimbia zamani, kakuacha Nzi na Belo mkipiga kelele tu hapa....

Jopo la makocha Man U incl mzee Giggsy idea zimewaishia, ilobakia sasa ni kumuomba Sir Fergie aje kuokoa jahazi...
 
Last edited by a moderator:
......hehehe, mwenzenu mfarisayo keshawakimbia zamani, kakuacha Nzi na Belo mkipiga kelele tu hapa....

Jopo la makocha Man U incl mzee Giggsy idea zimewaishia, ilobakia sasa ni kumuomba Sir Fergie aje kuokoa jahazi...

Na hapo goons nani aje kuokoa jahazi? Miaka 9 sasa, patupu. Imarati, neno, kombe la ubingwa, halipo kwenye msamiati, ati!
 
Last edited by a moderator:
Kwa kweli ubovu wa Moyes uko kwenye kufanya substitution ingawa bado tuna imani nae sana. Fletcher alikuwa mtu sahihi sana baada ya Jones kuumia

haiwezekani kila siku arudie makosa haya haya ya kushindwa kufanya sub,hii inanipa imani kwamba ataendelea kukosea kufanya sub na mimi niliongea hili as soon alivyoshindwa kufanya sub,im wondering benchi lake la ufundi huwa linamshauri nini kweli haya hawayaoni,?? Au wanatufanyia makusudi yaani sub iko open kabisa kaenda kufanya sub ya kituko kwa weli anazidi kunidisapoint in moyes i dont trust
 
Subirini tumsaini Mata, subirini Mata acheze pamoja na Rooney,na RVP..... Haya leo tumeona kilichotokea. Naomba mkija Emirates siku 10 zijazo mcheze kama hivi tuwabandike goli 10-0 LOL

moyes the record breaker ameveunja rekodi nyingine kuwapanga rooney,mata na rvp na bado kupoteza mechi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…