kikiboxer
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 3,996
- 10,701
Glory hunter humu wapo kibao. Plastic fans.Hakuna siku uliowahi ongea la maana kuhusu Ten Hag.
Anaekufahamu hashangai.
Glory Hunter.
Jana nilikuwa safarini nifatilia updates kwenye uzi lawama kibao utadhani tumepigwa goli. Yani tangu kikosi kimewekwa wazi watu ni lawama tu.