HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,107
- 103,076
Maguire....leo kaupiga sana. Jamaa linajua sana ndio maana PSG wanamtaka sana.
Maguire....leo kaupiga sana. Jamaa linajua sana ndio maana PSG wanamtaka sana.
Hakuna siku uliowahi ongea la maana kuhusu Ten Hag.Huyu kocha vipi, tuna aggregate ya 4-1 bado anapanga full mziki, wachezaji wachanga/wabenchi watacheza lini sasa.View attachment 2554094
Grereji aliyo enda kurekebishe vikombe vya miguu fundi wake ashukuriwe. Sasa hivi mguu umenyooka barabara
Vipi wewe una change kikosi nini kimetokea.Leo akiingiza majeruhi mapya anaanza kusingizia Arsenal
Huyu kocha wenu akili zake Kama zako,
Kila mechi kikosi hicho hicho kauka nikuvae
Sasa asubiri Europa tumbomoe ,EPL aanze kugombea kucheza Europa
Katuonyesha mengi sana aliyonayo mguuni kwakeWatu mmepiga sana mdomo hapa dogo pellistri mbona aanzi haya Sasa leo kaanza.View attachment 2554073






Real sociedadIvi huko spain tulishawahi kwenda na tukapata matokeo ya ushindi???....
Mwarabu apewe timu haraka sana