Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nna wasi wasi na ww mpira wa miguu huuepewi Football inamatokeo ya kikatili,,, hutakiwi kumdharau mpinzani….
Chukua notes hz ujifunze kitu
Uefa 2011/12 first leg Napoli Fc 3 vs 1 Chelsea
Second leg Chelsea 4 vs 1 Napoli

Uefa 2016/17 first leg PSG 4 vs 0 Barca
Second leg Barca 6 vs 1 PSG
tangu lini KOCHO likajua Mpira??
 
Huyu kocha vipi, tuna aggregate ya 4-1 bado anapanga full mziki, wachezaji wachanga/wabenchi watacheza lini sasa.View attachment 2554094
Wewe mpaka sasa huelewi kama kocha wenu ana kikosi kimoja tu lakini maneno meengi..

Yani akisema Rashidi akae benchi basi robo hamuioni.

Rashidi akiumia ndo msahau tena kuhusu top 4- bye bye!😂
 
Mmmh hawa madogo bora tulishawapigaa nyingi maana leo pagumu hapaa
 
Wewe mpaka sasa huelewi kama kocha wenu ana kikosi kimoja tu lakini maneno meengi..

Yani akisema Rashidi akae benchi basi robo hamuioni.

Rashidi akiumia ndo msahau tena kuhusu top 4- bye bye!

Kila kocha si anakuwa ana Fist 11 yake ama kikosi chake cha kwanza….
Rotation ya kikosi cha kwanza haifanyiki kwa ujumla bala kwa baadhi ya wachezaji mmoja…
Game ya leo wameanza Maguire, Malacia, Pelistri
….. Varane, Shaw, Sancho Benchi na Antony hayupo kabisa kwenye list

Mnataka afanyaje! Hv football mnaielewa kweli au ndo alimradi kila mtu vidole gumba vifanye kazi
 
Nyumbu nyumbu nyumbu nme waita mala 3 nataka goli 2 tu kwenye match yenu
 
Rashford sijui kala maharage ya wapi

Pelistri sijui kala maharage ya wapi

Casemiro sijui kala maharage ya wapi

Weghost sijui kala maharahe ya wapi

 
Rashford sijui kala maharage ya wapi

Pelistri sijui kala maharage ya wapi

Casemiro sijui kala maharage ya wapi

Weghost sijui kala maharahe ya wapi


Uyu Weghorst sijui ni kwa sababu ni mdachi mwenzake 10 Hag….. lkn kiuhalisia sio no 9 wakucheza Man U game nyingi saana jamaa anazingua tu hawezi hata kukaa na mpira sec30
 
Nileteeni de jong
Tuna wapumbavu kwa wao kushika mpira kwa sekunde 10 ni jambo gumu zaidi kuliko kuzuia kinzhal missile ya mrusi
Screenshot_20230316-214123_Chrome.jpg
 
Real betis ni vile tu wamekosa umakini kwenye umaliziaji, kwa mpira tuliocheza kipindi kwanza tulipaswa tuwe tumeshagongwa zaidi ya goli 5.
Maguire, Martinez na De Gea ndio wachezaji pekee waliocheza kwa kiwango ila waliobaki wote ni utopolo mtupu.
Kwa utumbo huu tunaocheza kila siku De Gea atakua Man of the match.
 
Back
Top Bottom