Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Against Spanish sides in Spain, Marcus Rashford is in a league of his own

#TrustTheProcessETH
#UnitedfortheFans
#GlazerOUT
#GGMU

man utd |
IMG_20230316_171022_492.jpg
 
Kwahiyo hii ndio game ambayo Casemiro na Bruno wakila manjano wanakosa game ijayo? Na EtH kaamua kuwaanzisha wote na nyuma kuna ukuta wa Maguire?
 
Huyu kocha vipi, tuna aggregate ya 4-1 bado anapanga full mziki, wachezaji wachanga/wabenchi watacheza lini sasa.View attachment 2554094
Wasiwasi wangu mkubwa ni Casemiro kula manjano na akakosa game ijayo. Bora angempumzisha. Maguire angecheza na Lindelof halafu Martinez asogee DM hapo, ana sifa zote za kucheza 6. Anakaba vizuri na anasambaza mipira kwa usahihi.
 
Mnavyojua kuwaremba sasa utafikiri sio WALIOKOJOZWA SABA *****
 
Huyu kocha vipi, tuna aggregate ya 4-1 bado anapanga full mziki, wachezaji wachanga/wabenchi watacheza lini sasa.View attachment 2554094
Leo akiingiza majeruhi mapya anaanza kusingizia Arsenal

Huyu kocha wenu akili zake Kama zako,

Kila mechi kikosi hicho hicho kauka nikuvae

Sasa asubiri Europa tumbomoe ,EPL aanze kugombea kucheza Europa
 
Nna wasi wasi na ww mpira wa miguu hu uelewi Football inamatokeo ya kikatili,,, hutakiwi kumdharau mpinzani….
Chukua notes hz ujifunze kitu
Uefa 2011/12 first leg Napoli Fc 3 vs 1 Chelsea
Second leg Chelsea 4 vs 1 Napoli

Uefa 2016/17 first leg PSG 4 vs 0 Barca
Second leg Barca 6 vs 1 PSG
 
Leo akiingiza majeruhi mapya anaanza kusingizia Arsenal

Huyu kocha wenu akili zake Kama zako,

Kila mechi kikosi hicho hicho kauka nikuvae

Sasa asubiri Europa tumbomoe ,EPL aanze kugombea kucheza Europa

Hata Arsenal wana kikosi kimoja tu cha ushindi dogo janja,,,,, siku zote timu ya ushindi haibadiliki lbd mechi iwe haina umuhimu saana
 
Back
Top Bottom