Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Upo sahihi chief il inabd tutulize akil
Man united ina wachezaj wegi half kibaya wale wanaolipwa pesa nyingi kila siku pancha
 
Umeninukuu vibaya, nimezungumzia tabia zenu zenye ufanano.

Kuhusu Thamani ya anthony imeshajadiliwa tokea mwezi wa 8 humu ndani, unachofanya wewe ni kelele za kasuku
Anthony tuliwaambia Sana humu kuwa mmepigwa awali mkabisha Sana

Leo nashangaa mnasema mlikubali


Mlikuwa mnadai kaifunga Arsenal mkampamba Sana


Basi ipo siku mtaimba wimbo mmoja kuhusu huyu Ten hag , Anthony mlikuwa wabishi Sana ,Sancho vile vile ,


Muda utaongea

Ila Kuna mstari mwembamba Sana Kati ya Manjesta ya 7 hag na Manjesta ya Ole Guna
 
Tomiyasu ambaye Arsenal anacheza wiki kila wiki LB, RB , unamfananisha na malacia?
Nisaidie takwimu za tomiyasu msimu huu kwa mechi alizoanza.

Hoja yangu ilikuwa kwenye potential ya mchezaji.

Hayo mambo ya kuwa na uhakika wa kuanza kikosi cha kwanza nayasikia kutoka kwako.
 
Mm ninachojua mashabiki wa manjesta na Arsenal ndio wenye fujo toka nakua najua hivo

Sisi Arsenal tunawaona mnafujo na mnaongea Sana ,the same na nyie
 
Nisaidie takwimu za tomiyasu msimu huu kwa mechi alizoanza.

Hoja yangu ilikuwa kwenye potential ya mchezaji.

Hayo mambo ya kuwa na uhakika wa kuanza kikosi cha kwanza nayasikia kutoka kwako.
Kama ni potential Basi sawa ,ila malacia najua alisajiliwa kutokana na Shaw kuonekana hafai ,lakin mwisho wa siku anasubiri had aumie

Nina chohoji ni usmati wa Ten hag katika usajili ,ninautilia mashaka

Ila kwakuwa muda ni hakimu utaongea

Nilitilia mashaka usajili wa Anthony niliandamwa Sana humu, ukafika muda mkaanza kukubali
 
Ten Hag on Casemiro’s red card:

“What I think is the inconsistency, players don't know any more what the policy is.”
Hivi seriously foul huwa ni Ban ya mechi 3 au 4?

Mbona naona sehemu Casemiro atakosa mechi 4 ,wamebadili sheria ya seriously faul?
 
Huyu Casemiro simuelewi sijui ndio kapata namna nzuri ya kula pensheni yake pale United? Siku akijisikia kuchoka kucheza anatafuta red kadi yake moja safi anaenda kopa kabana kula upepo wa bahari bila kelele za akina Neville na na Scholes.
Kwa leo nimeogopa sana uchezaji wetu umenikumbusha manchester ya Ole wakati huo; ukisajili beki,kiungo kinavuja,ukisajili kiungo ushambuliaji unadhoofu ili mradi timu isitulie.
 
Kwa leo nimeogopa sana uchezaji wetu umenikumbusha manchester ya Ole wakati huo;
Tuna tabia ya kuanza mechi kivivu, ugonjwa huu unaelekea kukosa dawa.

Tumekuwa tukiinua nguvu zetu kila ifikapo kipindi cha pili.

Ni kama vile wachezaji hawana uwezo wa kucheza kwa kiwango bora kwa dakika 90.
Sijui tatizo kuu liko wapi.
 
Tuna tabia ya kuanza mechi kivivu, ugonjwa huu unaelekea kukosa dawa.

Tumekuwa tukiinua nguvu zetu kila ifikapo kipindi cha pili.

Ni kama vile wachezaji hawana uwezo wa kucheza kwa kiwango bora kwa dakika 90.
Sijui tatizo kuu liko wapi.
Labda huwa tunawaza kutengeneza headlines kwa Fergie time au come back kings
Rule bender = fuentte
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…