Sa mbona umekasirikaReal betis ili hafuzu wanatakiwa washinde 4 bila hizo goal utawafungia wewe.
Kenge nyie mnatoa Draw na Timu inayoburuza mkia,makima kweli nyie machoko
Arteta kagewa nini anachotaka? 😂😂😂Kuwa na heshima na 10 Hag
Next season akipewa anachokitaka km ilivyo kwa Arteta maji mtaita mma
Arteta kagewa nini anachotaka?
Huyu Erik kagewa mchezaji wa milioni 100, katumia zaidi ya milioni 250 kusajili unataka agewe nini zaidi?
Ila mashabiki wa United mnanifurahisha sana nikiwa nasoma comments zenu
Saba zitapungua hadi kubaki 2Kuwa na heshima na 10 Hag
Next season akipewa anachokitaka km ilivyo kwa Arteta maji mtaita mma
Soton walikua na chances 3 ambazo naamini timu kama Brighton au Brentford wanascore 2 kati ya hizo.Halafu wanadanganyana Arsenal ana kikos finyu , manjesta ana kikos kipana
Una uhakika Arteta kapewa anachotakaKuwa na heshima na 10 Hag
Next season akipewa anachokitaka km ilivyo kwa Arteta maji mtaita mma
Na njia zake ni kukandamizwa 5 na Liva na kusema 'This is enough' kutumia zaidi ya milioni 250 ili kujiandaa naye tena na anakuja kukukandamiza 7 nunge.Kagaiwa wachezaji anao wataka na kapewa muda wa kuitengeneza timu
Miaka miwili iliyopita ulikuwa huwezi kusimama ukajisifia wee ni Arsenane timu ambayo ina miaka takriban 8 haijawahi kucheza UEFA CHAMPION LEAGUE
mpira una njia zake dogo janja
Saba zitapungua hadi kubaki 2
Yeye anamuaibisha man u tu, ndio mpinzani wake halisiUzuri wa Liverkuku a.K.a Liverfools hana dhamana ni km jana kapigwa na Bournemouth usishangae akafungwa tena na Leeds United
Maneno makali hayaThis game was influenced by the referee.”
Msimu huu wenyewe alipewa anachokitaka , €250m kachota €100m kaleta yule mtembea na mpira nyingine kamsajili mchezaji ambaye ameshindwa kutoboa kwa ShawKuwa na heshima na 10 Hag
Next season akipewa anachokitaka km ilivyo kwa Arteta maji mtaita mma
Mzee ile utaita late tackle?Casemiro atakosa four straight games. Niliwaambia huyu jamaa ni mzito hio ligi haiwezi anafanya late tackles sababu timing yake mbovu
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Huko Twitter mashabiki uchwara wanaosoma stats wanampamba ndiyo aletwe yeye.Siwaamini sana washambuliaji wanaotoka ligi ya serie A pindi wanapokuja premier league.
Kwa nini osimhen dhidi ya harry kane?
Ondoa hoja ya umri.
Wanachekesha Sana huyu kocha labda apewe bajeti ya €1bilionArteta kagewa nini anachotaka?
Huyu Erik kagewa mchezaji wa milioni 100, katumia zaidi ya milioni 250 kusajili unataka agewe nini zaidi?
Ila mashabiki wa United mnanifurahisha sana nikiwa nasoma comments zenu
Arteta msimu wa Kwanza angepewa €250m angegombea ubingwaKagaiwa wachezaji anao wataka na kapewa muda wa kuitengeneza timu
Miaka miwili iliyopita ulikuwa huwezi kusimama ukajisifia wee ni Arsenane timu ambayo ina miaka takriban 8 haijawahi kucheza UEFA CHAMPION LEAGUE
mpira una njia zake dogo janja