Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Unacheza na kina reading , chalton , na timu nyingi zenye kariba hiyo unasifia ,

Mimi nipo hapa muda utaongea ,hata Conte wakati anashinda hivi nilibishiwa Sana na ule mpira wake wa ovyo
Wewe mbona unalalamika lalamika tuu kwenye nyuzi za watu? Kwanini unaumizwa na mafanikio ya utd, kwani we timu yako c inaongoza ligi? Hata icheze na Yanga lkn bado Man utd itabaki kuwa timu kubwa na Arsenal itabaki kuwa timu ndogo hata ikichukua ligi msimu huu
 
Sir Alex Ferguson aliwai kuchukua ubingwa kwa kumtegemea Valencia (mguu mmoja) na Rafael

Sir Alex Ferguson ndio muanzilishi wa falsafa ya full beki kutumika kama winga

Sir Alex Ferguson alimfanya young kuwa beki na winga
Achana naye mwehu uyo, kazi kulalamika lalamika tuu.
 
Yani ulipigwa chuma 3 na bado unasema tulibahatisha, huna akili wewe
 
Sir Jim Ratcliffe remains confident of securing the ownership of #MUFC despite a competing bid from Qatar.

#𝐖𝐚𝐚𝐜𝐡𝐞𝐧𝐢𝐖𝐀𝐖𝐈𝐋𝐈


#Times
#TrustTheProcessETH

#UnitedfortheFans

#GlazerOUT

#GGMU


man utd |
 
Matchday mornings.


#TrustTheProcessETH

#UnitedfortheFans

#GlazerOUT

#GGMU


man utd |
 
years ago today, Darren Fletcher made his Reds debut


appearances and countless trophies later, Fletch is a true United legend


#TrustTheProcessETH

#UnitedfortheFans

#GlazerOUT

#GGMU


man utd |
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…