Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Umeongea vizuri unajua boli ndugu,
 
Tanzania hii watu kama wewe hamzidi 10 hongera sana mkuu


Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 

Wee ni mdau wa mpira sio wengi wale mashabiki maandazi na wapenzi lia lia wasioelewa football
 
Bora ucheze mpira wa hovyo unapata matokeo kuliko mpira unaovutia huambulii kitu.

Hata wakati wa SAF tulikuwa tunacheza hivihivi tena worse than now.

That's how United play.

That's our style.

United way.
 
Unacheza na kina reading , chalton , na timu nyingi zenye kariba hiyo unasifia ,

Mimi nipo hapa muda utaongea ,hata Conte wakati anashinda hivi nilibishiwa Sana na ule mpira wake wa ovyo
Ulikuwa wapi usicheze nao?
 
Unamzungumzia Conte wa miaka 10

Now tunazungumzia morden football ambayo Degea akirudishiwa mpira anatetemeka

Unadhan Kuna timu inajielewa epl inaweza kumleta Mourinho au Simeon?
Hao makipa unaowaongelea wapo timu gani? Timu zao zipo nafasi ya ngapi? Wana kombe lolote msimu huu?

Sometimes you need more than that to win trophies.
 
Nitajie mechi moja tu ambayo united alicheza mpira wa maana mbele ya aseno
 
Ten Hag on Facundo Pellistri vs Real Betis: This was his moment to come on because of a longer period he performed in training. What impressed me was he came on and, straight [away], showed himself. When they came on, Scott [McTominay] and Pelli, it was 3-1 but 4-1 is huge, to make the extra goal. In the first moment, they did, which was brilliant.

#TrustTheProcessETH

#UnitedfortheFans

#GlazerOUT

#GGMU


man utd |
 
Bora ucheze mpira wa hovyo unapata matokeo kuliko mpira unaovutia huambulii kitu.

Hata wakati wa SAF tulikuwa tunacheza hivihivi tena worse than now.

That's how United play.

That's our style.

United way.
Sir Alex Ferguson aliwai kuchukua ubingwa kwa kumtegemea Valencia (mguu mmoja) na Rafael

Sir Alex Ferguson ndio muanzilishi wa falsafa ya full beki kutumika kama winga

Sir Alex Ferguson alimfanya young kuwa beki na winga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…