Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 29,042
- 51,594
Captain Bruno akicheza 10 anakuwa superb sana kuliko winga
Mie binafsi napenda tuendelee na De Gea kwa msimu unaofuata kwanza ili tuwekeze nguvu kwa mshambuliaji daraja la kwanza na kiungo kijana aina ya Eriksen. Kumtegemea Fred na Marcus kama starter kwenye kiungo na ushambuliaji itatugharimu muda sio mrefu.How #mufc would fund a move for a goalkeeper as well is unclear, particularly as Ten Hag also wants to strengthen the full-back position. [
@TelegraphDucker
]
Anthony Martial ndani ya miaka miwili ameanza michezo 15 ukilinganisha na Wout Weghorst aliyeanza michezo 15 ndani miezi miwili. Huyu dogo naona kama anatulocha hafai kuendelea kuvaa uzi wa United. At 27 anakuwa kama mzee wa miaka 35 anaonekana mara moja moja uwanjani.Ten Hag: "Did I expect [Weghorst to play so much]?
I expected that he'd play a lot but obviously we have an injury with Anthony Martial, so that's the main reason he's playing every game from start to almost finish."
[@BeanymanSports]
Degea for longterm sio mtu sahihi bado sana kuna mapungufu mengi sana ya kiufundi pale golini ukiondoa silaha yake kubwa ya shots stopping.Mie binafsi napenda tuendelee na De Gea kwa msimu unaofuata kwanza ili tuwekeze nguvu kwa mshambuliaji daraja la kwanza na kiungo kijana aina ya Eriksen. Kumtegemea Fred na Marcus kama starter kwenye kiungo na ushambuliaji itatugharimu muda sio mrefu.
Fred inconsistency wakati Rashford hatujui kama hii form yake itadumu misimu miwili ijayo. Mbaya zaidi anacheza kwa kufukuzia rekodi binafsi (kwa msukumo wa media za Uingereza ) kitu kinachosababisha awe mchoyo kwa wenzie wenye nafasi nzuri zaidi ya kufunga.
Sure na mimi niliona ile assist ya Goretzka alimpa Choup Moting nkakumbuka na Anthony aliochop wakati pembeni kuna Rashford,Mzimu na Fred wapo wanaliangalia goli kabisaMatatizo makuubya Man U mbele ni mawili ..
1.Umaliziaji mbovu .Mechi nyingi hata tukizo shinda mfululizo karibia kila mechi lazima kuwe na clear chances nyingi tunazokosa hata mechi na liver tulianza kwa kukosa magoli ya wazi wakati wenzetu ontarget 4 zilikuwa goli 4.
2.Uchoyo na Ubinafsi.Rashford ,Bruno ,Antony na Garnacho hawa mara nyingi ni vigumu kuangalia wenzao wanapokuwa ndani ya 18 ,nimecheki highlights mechi ya Bayern na Psg kuna Goli moja jamaa yupo karibu kabisa na kipa ila kamuangalia mwenzake aliyekuwa hajakabwa kabisa nakushinda kiulaini nikavuta picha Man U kwenye situation zile ni nadra sana kukuta mtu anatoa assist akiwa ndani ya 18 mara nyingi atajaribu kupiga tu.
David Raya ni cheaper option ukimlinganisha na Diogo Costa huyu alisaini mkataba mpya juzi juzi wenye release clause ya Pound 60M.#mufc are in talks with David de Gea about extending his contract on reduced terms but the club are actively scouting for goalkeepers including David Raya and Diogo Costa.
[@TelegraphDucker]
Ngoja ufukuzwe🤣🤣🤣🤣Bado maumivu ya kukandwa bao saba yapo?
Kwa msimu ujao tunahitaji RB,CB,CM na striker mmoja. Kwa mtizamo wangu hizo nafasi zinahitaji tiba ya haraka kuliko nafasi ya goli kipa ili msimu ujao twende sawa na wenzetu. Kwa huu wingi wa mahitaji na ufinyu wa bajeti ndio maana De Gea anavumilika sana kulinganisha na nafasi nyingine.Anthony Martial ndani ya miaka miwili ameanza michezo 15 ukilinganisha na Wout Weghorst aliyeanza michezo 15 ndani miezi miwili. Huyu dogo naona kama anatulocha hafai kuendelea kuvaa uzi wa United. At 27 anakuwa kama mzee wa miaka 35 anaonekana mara moja moja uwanjani.
Pia, swala la David Degea binafsi namuheshimu sana na namkubali ila kwa mfumo wa mpira wa kisasa hasa hasa makocha kama Ten Hag wanao-prefer timu kucheza kutoka nyuma naona kabisa akienda kujutia maamuzi ya kumpa mkataba mpya unless tusiwe na pesa ya kuwekeza kwa golikipa mpya. (Huwezi kumfundisha mbwa mzee mbinu mpya)
Yes. Nipo na wewe Jombaa, mimi nimezungumzia kwa mipango ya muda mrefu.Kwa msimu ujao tunahitaji RB,CB,CM na striker mmoja. Kwa mtizamo wangu hizo nafasi zinahitaji tiba ya haraka kuliko nafasi ya goli kipa ili msimu ujao twende sawa na wenzetu. Kwa huu wingi wa mahitaji na ufinyu wa bajeti ndio maana De Gea anavumilika sana kulinganisha na nafasi nyingine.
Hiyo ndio point yangu mkuu.
Toka mwanzo mkuu alikuwa ni kuunganisha benchi la Ufundi na wavaa suti kina Arnold, Woodward etc.Darren fletcher kumbe bado yupo, siku hizi simuoni kwenye benchi...
Chief-Mkwawa Huyu bwana fletcher majukumu yake yapoje kwa sasa.
Sizungumzii cheo chake
View attachment 2544671
Ten Hag toka amefika alikuwa ktk pressure ya kupata matokeo sio rahisi kuanza kujaribu jaribu wachezaji hovyo hovyo ila binafsi naamini atakuja kupata nafasi na atakuwa moja ya wachezaji muhimu kikosini ana-potential kubwa sana.Mimi ni shabiki mkubwa sana wa Facundo tangu namuona kwa mara ya kwanza akicheza. Lakini nikiri wazi kuwa uelewa wangu kwenye masuala ya mpira kiufundi ni mdogo kulinganisha na hawa mabosi ambao huyu dogo amecheza chini yao ndio maana hakuwa akipata nafasi mbele ya Elanga,Anthony pamoja na Sancho. Lakini bado kuna kitu kinaniaminisha huyu dogo ni mzuri kiuchezaji kulinganisha na Elanga pamoja na Anhtony (wakati flani) ila niko tayari kukosolewa kwenye hili.
Uchezaji wa Facundo kama winga ni tofauti kabisa na Elanga pamoja na Anthony.