Kiatu cha udongo
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 443
- 1,157
GGMU
chama kubwa dunia nzima
chama kubwa dunia nzima
chama kubwa dunia nzimaUongo unakusaidia nini?Juzi kati niliangalia mechi kati ya Real Madrid v/s Real beatis ambapo matokeo ilikuwa 1-1 kiukweli ilikuwa bonge moja la mechi, Man U wasipojikaza naziona 7 zingine zikitaradadi
Umemkamata pazuri sana huyu kengeUongo unakusaidia nini?
Real Betis (sio real beatis)
Lini wamecheza mpaka wewe ukaangalia ukaona bonge ukaona matoke ya 1-1?
Game ya tarehe 5 /3/2023 Real betis 0 vs Real Madrid 0...
Hio bonge ya game 1 vs 1 tuambie wafaungaji wao tuwajue sie wazee wa 2+



Tupo live kabisaTumekuja na Bundi wetu tunakesha nae humu hadi kieleweke
Ina maana huyu kama ni Dr anafungwa Jera ni muuaji
Ina maana huyu kama ni Dr anafungwa Jera ni muuaji
Uwezi kutoa matokeo ya Postive kwenye NEGATIVE..




