Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mashabiki tuna visa sana, huyo jamaa amecheza kwa muda mrefu sana tangu afike kwenye timu yetu. Pengine ndio mchezaji pekee ukiachana na De gea ambaye kila akihitajika yupo. Amecheza popote kocha anakompanga. Sijui shida ni nini na sisi mashabiki.
Hasira tu, kipigo kiliwachanganya mashabiki. Watu wanatafuta tu sababu ilimradi asikosekane wa kutupiwa fuko la misumari.
 
Kuna Moja Ile kapoteza mpira, alaf kasimama kama kasusa fulan
Kawaida tu ile, wachezaji nao wana hisia. Mpira ni mchezo wa kukera ile mechi tulizidiwa sana. Kama umewahi kucheza mpira wa miguu au mchezo wowote ukipigwa nyingi lazima utakuwa na hasira na akili itatoka mchezoni kabisa.

Kuna muda pia Bruno alimsukuma lines-man baada ya Trent AA kung'ang'ania mpira wa kurusha, yani wachezaji wa Liverpool walikuwa wanatufunga na kutukera ili kuwatoa wapinzani mchezoni na yale magoli yalikuwa yanaongezeka kwasababu tayari wachezaji wetu walitawaliwa kwenye kila kitu.

Mimi naamini hata wachezaji walikuwa wanaomba tu muda uishe waondoke Anfield.
 
Ningeombwa ushauri ningemshauri Somo wangu abaki championship kwanza apate uzoefu wa kutosha kabla hajahamia EPL kufifisha matumaini yake ya kuwa kocha mkubwa hapo badae.

Kimewatokea Steve G na Lampard hivi karibuni.
 
Marcel Sabitzer: “One hundred per cent [I can play three games a week]. I saw the comment Bruno [Fernandes] did and it was the same for me. I want to play every day, if possible, I am ready for every game.”

#TrustTheProcessETH

#UnitedfortheFans

#GlazerOUT

#GGMU


man utd |
 
Mwarabu apewe timu haraka sana
#mufc's prospective buyers will hold face to face talks with Raine & club officials in the next fortnight.

Bidders want to see breakdown of contracts, partnership deals, money owed on transfers, potential bonuses, cost of running the stadium, future TV earnings.
[@TheAthleticFC]
 
Rashford: “I love playing with Bruno, as you can imagine. I’m 100% behind him. Bruno helped other players become better leaders”.
#MUFC

“Ten Hag? Having a new manager was exciting for me and I've not looked back since then”.

#TrustTheProcessETH

#UnitedfortheFans

#GlazerOUT

#GGMU


man utd |
 
Moisés Caicedo is still likely to leave Brighton this summer despite signing a new deal until 2027. Manchester United, Liverpool and Chelsea are all interested.

#FlorianPlettenberg
#TrustTheProcessETH

#UnitedfortheFans

#GlazerOUT

#GGMU


man utd |
 
Erik ten Hag: “I’m happy to have Bruno Fernandes as captain. Definitely [still captain], I think he's playing a brilliant season, he's played an important role in the position that we are”.
#MUFC

“He's giving energy to the team, running with intensity, in the right way”.

#TrustTheProcessETH

#UnitedfortheFans

#GlazerOUT

#GGMU


man utd |
 
Ten Hag has confirmed that Anthony Martial and Marcel Sabitzer will not be available to face Real Betis on Thursday.

#TrustTheProcessETH

#UnitedfortheFans

#GlazerOUT

#GGMU


man utd |
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…