Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huu upepo kwa nini usigeuke kuelekea golini kwa Man utd? Duh hadi mother nature iwabebe ndo msawazishe lol
 
Adam makes it 2 to Stoke...with a stunning volley...2-1 to Stoke...

What a game....
 
wapenzi wa Liver watakuwa wanajilaumu kwa kumuuza dogo
 
Haki ya Mungu Rooney angekuwa foreigner angekuwa kashalimwa RED kama 2 msimu huu... EPL wanalindana kinoma. Na hii sio Rooney tu nimeshaiona hata kwa Wilshere wetu.
 
Haki ya Mungu Rooney angekuwa foreigner angekuwa kashalimwa RED kama 2 msimu huu... EPL wanalindana kinoma. Na hii sio Rooney tu nimeshaiona hata kwa Wilshere wetu.

acha unazi wewe kwa kosa lipi? Mbona Walter kaenda na double kick kwa Smalling kaachwa tu
 
Sio ktk Mechi hii tu ambayo Rooney ame-escape straight red... Kuna mechi kama 3 hivi ambapo Roney badala ya kufuata mpira anakula miti. Na sio kama nam attack Rooney ni hawa marefa wa England wanapendeleana. Muingereza anaweza afanye faulo akapewa yellow wakati mgeni akapewa red. Nadhani hata faulo ya Walters ilistahili red ssema ndo hivyo nadhani ni Muingereza mwenzao
 
Moyes anafanya nn leo anataka kumuingiza Chicharito wa nn sijui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…