Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Alitufunga Arsenal 3-1 na sio kwamba Basi hata mchezo aliutawala ,ni kuvizia tu akasema yeye ndiye anastahili kuongoza ligi View attachment 2538638
Sasa huoni hayo maneno alikuwa anawaambia wachezaji(dressing room).

Unajua makocha huwa wanaongea nini na wachezji wao, ili kuimotivate timu.?

Na hicho kipigo cha 3-1 bado hujakisahau.
 
Katika siku ninazokuwa na furaha ni kuona man u na simba wanafungwa
Basi furaha yako ni ya kusuasua sana

Kufungwa Man U na Simba ni mpaka muujiza

Umechagua kujipatia furaha kwa njia ya bahati na muujiza
 
United all the way!
Haya ni matokeo ya mpira tu.
The progress we have made so far is substantial.

Hawa Loserfools kutufunga goli 7, haiondoi maendeleo ya timu.

Na leo inaweza kuwa ni matokeo ya uchovu wa mechi nyingi toka Februari.

We will bounce back stronger.

GGMU
 

Attachments

  • A95CC400-0E84-4925-8C1B-82CDE876C8B7.jpeg
    1.2 MB · Views: 14
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…