kweli fear factor imekufa, jinsi stoke wanavyowapeleka puta utazani mmegeuka Mecco vs lipuli. Usually Stoke City ni watu wa ku defend 11 people behind the ball lakini

Hahahaha hakuna anayeiogopa Man U siku hizi afu mwaka huu mkimaliza nafasi ya 6 itakuwa ndo kama ubingwa wenu.. What's Mata now LOL? Anyway, mambo vipi mkuu?

Poa tuu rubaman ninaangalia chama langu ila majeruhi wanazidi kuwa wengi tuu .. ila nina uhakika mpira ukiisha watu watasema man utd walikuwa wanacheza na tawi lao