FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,923
- 11,308
Niite mbwa niko kuleMan utd mkifanya mabadiliko kidogo tu basi mnashinda goli nyingi hii game nI nyie tu

Niite mbwa niko kuleMan utd mkifanya mabadiliko kidogo tu basi mnashinda goli nyingi hii game nI nyie tu

Mlimununua wa nini?Nilipomuona tu Dalot nikasema kazi ipo.
Offensive zero.
Defensive zero.
Unaona ulivyo mjinga lakini? Hapa jf kuna mtu aliyemnunua Dalot?Mlimununua wa nini?
Usiondoke hapa.Man u huwa anabebwa na magoli ya offside tu.....hata ile 2-1 ilikuwa ni offside ya rashford ....Leo hakuna pa kutokea ....
watarajiwaLabda ya kabatiGame itaisha Kwa draw



Kwahiyo una uliza ama una shauri?Long tym sana sijapita hapa. Nimepita tu kuja kuona na kusikiliza malalamiko yenu. Japo sina msaada nitakao toa.
Taarifa tu, mpo nyuma kwa goli 1.
EtH toa Weghorst weka Garnacho, Rashford kaa katikati.
Halafu Antony anatufelisha sana kwenye counter hatoi pasi mapema. Pia wakati tunashambulia Rashford hatakiwi kupewa pasi, Antony aliharibu shambulizi moja kwa kumpa pasi Rashy.
North-West Derby ukiwa Anfield siyo mechi ya kitoto, vijana wajikaze.
Huna akili.Man u huwa anabebwa na magoli ya offside tu.....hata ile 2-1 ilikuwa ni offside ya rashford ....Leo hakuna pa kutokea ....