Unauzoefu wa kutosha wa kukojoa kitandani naona 🙂🙂🙂🙂Ukikojoa kitandani ukweni usiku huwa mfupi sana.
Janja janja yenu ya kushinda kwa mazingaombwe mwisho wenu ni leo
Liva 2 Man U 0
Nani sasa hayaogopi majogoo?
TupumzishweeeeeeHow do you see the rest of #mufc's month going?
#TrustTheProcessETH[emoji1179]
#UnitedfortheFans[emoji2522]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]
man utd |
View attachment 2535908
Leo tutawapiga kama Ngoma na mtueleze mnapambania top 6 au top 10?Ukikojoa kitandani ukweni usiku huwa mfupi sana.
Janja janja yenu ya kushinda kwa mazingaombwe mwisho wenu ni leo
Liva 2 Man U 0
Nani sasa hayaogopi majogoo?
Si mmeingilia show isio yenu. Tukiwa nyuma kwa 2-0 nyie ndo mlikua mmejazana kwenye uzi wetu.Yani akili za arsenal fans bwana Yani mnakimbizana na city ila mnatuwaza United!
Wanashinda kwa mazingaombwe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukikojoa kitandani ukweni usiku huwa mfupi sana.
Janja janja yenu ya kushinda kwa mazingaombwe mwisho wenu ni leo
Liva 2 Man U 0
Nani sasa hayaogopi majogoo?
Southgate ana chuki binafsi na Greenwood.Greenwood habari yake ishaisha hata Southgate kasema hatomwita timu ya taifa.
[emoji1787][emoji1787]tusubiri tuone kiumane leo,KENGE hawaUnaambiwa Wiki Nzima Hii Mohammed Salah Amegoma Kwenda Nyumban Yeye Ni Mazoez Na Kufanya Ibada Anfield Imewalazim Polis Waje Wamtoe Uwanjan Na Kumpelek Nyumban.
Polisi Wamemkuta Akifanya Mazoez Huku Analia [emoji102]View attachment 2537705
Greenwood habari yake ishaisha hata Southgate kasema hatomwita timu ya taifa.
Pale anfield bhana wewe,, hua muna rambwa sana[emoji5][emoji5]Njoo kumbuka usije namatokeo mkonon maana utalud umevimba mashavu
TeamUkikojoa kitandani ukweni usiku huwa mfupi sana.
Janja janja yenu ya kushinda kwa mazingaombwe mwisho wenu ni leo
Liva 2 Man U 0
Nani sasa hayaogopi majogoo?