Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huu nao ni moto mwingine baada yaa Rashford, Greenwood na Garnacho. Academy ya man u huwa inatoa watu wazuri sana huwa naumia sana kumpoteza Januzay na sasa naona kama kuna dalili za kumpoteza Greenwood.
 
Kwa upande wangu nitakua mtu wa mwisho kuukubali uzuri wa huyo Ghost.

Tangu ajiunge na United hata goli tano hana, zaidi ya fujo tu kule mbele sioni maajabu mengine.

Rudisha ilipotoka, leta mtu anaweza kucheka na nyavu kama Osemhen.
 
Kuwe na saa ambayo mpira ukisimama kwa namna yoyote ile saa nayo inasimama na wakifanikiwa hilo basi waondoe dakika za nyongeza.
Sure talk,haya maswala mtu kurusha throw in inatumia dakika 2 yaishe.
 
[emoji599] | Christian Eriksen has been nominated for the Laureus World Comeback of the Year award.

The Laureus World Sports

#TrustTheProcessETH[emoji1179]
#UnitedfortheFans[emoji2522]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]

man utd |
 
Charlie Savage wins Forest Green Rovers’ Star of the Month award for February [emoji122]

#TrustTheProcessETH[emoji1179]
#UnitedfortheFans[emoji2522]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]

man utd |
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…