Man City anapita.Manchester City anakutana na Burnley round ijayo acha tuone.
Umejua leo! Huyo Martial siku zote mimi nilisema ni takataka (mvivu)Uza Martial, sajili Weghorst (permanently). Nunua striker mwingine.
Mchezaji kama Martial anatuongezea tu quantity. Ukiwa na Weghorst kuna quality anaongeza kwenye timu.
Kwa Martial sijawahi kukubishiaUmejua leo! Huyo Martial siku zote mimi nilisema ni takataka (mvivu)
Uza Martial, sajili Weghorst (permanently). Nunua striker mwingine.
Mchezaji kama Martial anatuongezea tu quantity. Ukiwa na Weghorst kuna quality anaongeza kwenye timu.
Majukumu aliyopewa Man U sio sawa na aliyopewa alipokuwa timu ya taifa. Kule alikuwa mviziaji, huku amekuwa chance creater.jamaa kakosa zali la magoli tu ila ana mchango sana na kila ushindi wetu
Tatizo kubwa la man u lilikuwa linasababishwa na wachezaji wafuatao.Kwa Martial sijawahi kukubishia
Sema waingereza Bei zao mkasiDeclan Rice kwa mara ya kwanza jana amefanikiwa kunishangaza.
Nilikuwa namchukulia poa sana kwa sababu ya utaifa wake
Wote hao waliobakia hakuna regular starter, so we are goodTatizo kubwa la man u lilikuwa linasababishwa na wachezaji wafuatao.
1.Pogba
2.Maguire
3.Martial
4.Linderlof
Sasa hapo tumebaki na watatu.
Sasa hapo tu
Kulingana na maelezo ya Raph Rangnik, wachezaji waliokuwa wanaondoa balance kwenye dressing room sababu ya big ego ni Pogba, Cavani na Martial. Na alishawaweka kwenye departure list.Tatizo kubwa la man u lilikuwa linasababishwa na wachezaji wafuatao.
1.Pogba
2.Maguire
3.Martial
4.Linderlof
Sasa hapo tumebaki na watatu.
Sasa hapo tu
Kati ya walio improve sana, ni Bissaka π πBaada ya kuja 10hag naona hata thamani ya wachezaji wa utd itaongezeka
Maana kabla ya hapo kuna baadhi kwa viwango vyao wasingeuzika hata kwa dola 5 π
Garnacho akiendelea na kiwango hiki namuona akienda madrid kwa dau kubwaKati ya walio improve sana, ni Bissaka π π
Kwa hiyo mchezaji akiwa mzuri hatma yake ni madrid?Garnacho akiendelea na kiwango hiki namuona akienda madrid kwa dau kubwa
Yap ni mfano wa timu kubwaKwa hiyo mchezaji akiwa mzuri hatma yake ni madrid?
Haendi popote. Zama zimebadilika. Hatuuzi tena wachazaji kizembeGarnacho akiendelea na kiwango hiki namuona akienda madrid kwa dau kubwa
Wala sidhani Msdrid ni timu kubwa lakini sio lazima wachezaji wazuri wote wawe kule. Mfano Halandi Mess, Mbape na Kane hawapo kule. Ninachomaanisha hata akiendelea kuwa mzuri anaweza endelea baki hapo hapo utd.Yap ni mfano wa timu kubwa
We're not a selling club. Ila Garnacho akifikia full potential maana yake kwa soko la sasa tunaongelea Β£100m.Garnacho akiendelea na kiwango hiki namuona akienda madrid kwa dau kubwa