Huyu hapa anatufaa asee, huyu mwamba hapana.Kiungo Jombaa. Hatuna mbadala wa Casemiro. Nafasi zote zilizosalia tunaweza kucheza bila yeyote yule timu ita-struggle kidogo ila tutapata matokeo. Ukimuondoa Casemiro timu inakuwa nyeupe sana.
Madrid wali struggle sana baada ya kumuuza Makelele mpaka wakaja kumpata Kroos, Casemiro na sasa wana Tchoumeni, Camavinga nk hakika wana jicho kali sana.Tunatakia tupate vijana wenye damu moto hapo latikati.
Sijui Madrid huwa wanafanya vipi kuwa na quality midfield misimu yote, wana jicho kali sana.
Hahahahahaa vikombe vingi hapo L'pool walichukuwa kipindi wachezaji wanavaa vichupi chini ya miaka ya 1990.
Kuna mwanangu ni mshabiki wa L'pool toka amezaliwa hakuwahi kushuhudia kombe la EPL ndio mwaka juzi lilipopatikana ikabidi na yeye aende kusheherekea kabisa huko huko.
Mapema tu dogo atafikishaBado Goli 5, Rashford awe " The only Player to reach 30goals in a single season since Robin Van Perse in 2012/2013".
Unataka usajili DM tena kama regular starter au squad player tu ?Midfield.
Tukimkosa Casemiro tunatafutana.
Huu ni msimu wake wa pili akiwa injured, hivi karibuni alirudi lakini hayuko sawa kabisaKabsa yuko serious na goal, ana skills, anakaba na speed....kiukweli atafaa sana nadhan hela ikitolewa CHIESA anaweza kutua united.
Ndio, Bruno ni no 10, creativity tunamtegemea yeye tu toka Eriksen aumie. Sasa hivi Fred/Sabitzer ndio wanacheza 8 ambao wote wapo limited suala zima la utengenezaji nafasi.Attacking mid, si yupo Bruno F na Eriksen.
Au ulimanisha kiungo wa chini wa kupandisha mpira juu.
Man united haina Recruiting department walishafukuzwa mbona, Eth ndio yupo responsible kwenye usajili plus Arnold na Murtough, kuna kipindi walimchukua kwa Muda kaka yake Will Keane naye pia ameshaondolewa.Ikitokea Qatar wameichukua timu.
Kitu cha kwanza ni kufukuza recruitment department ya Man Utd.
Tutafute watu wanaojua kufanya maamuzi sahihi na kwa haraka.
Both.Unataka usajili DM tena kama regular starter au squad player tu ?
Mbona mambo yanakuwa slow sana sasa?Man united haina Recruiting department walishafukuzwa mbona, Eth ndio yupo responsible kwenye usajili plus Arnold na Murtough, kuna kipindi walimchukua kwa Muda kaka yake Will Keane naye pia ameshaondolewa.
Ingekua wapo kina Woodward na Timu yake Antony asingesajiliwa.
Sioni shida ya golikipa as of now.Kwa sasa fans tumeanza kujadili mipango ya usajili msimu ujao ila katika wote sijasikia mtu akiongelea nafasi ya goal keeper. Wakati msimu unaanza wengi tuliona De Gea ni tatizo kwa kuangalia falsafa za uanzishaji mashambulizi za EtH. Sasa tukubaliane moja,tunahitaji shot stopper (Dave) au ball playing Golie(tusajili)?
Dirisha lote lililopita Carrington ndio ilikuwa head of recruitment, Kocha ndio alisema nani na nani aje, hapa ni mpaka timu iuzwe ndio waajiriwe watu wengine si rahisi kuajiriwa mtu katikati ya msimu.Mbona mambo yanakuwa slow sana sasa?
Inatakiwa dirisha likifunguliwa watu wanasajiliwa in a week then pre season inaanza.
Sio ile mtu anakuja na ligi ishaanza.
Hata Klopp kwangu mimi bado ni bonge la kocha ila tatizo lake ana roho nzuri sana (He's a classic Mr. Nice guy). Inabidi ajifunze tabia ya kuwa na roho ngumu kidogo kama Pep Guardiola, baada ya misimu kadhaa ya kucheza top football ni lazima ufanye kupunguza baadhi ya wachezaji na kuleta wapya hasa hasa wale wenye umri mkubwa.Ten Hag ni mwalimu mzuri.
Kikosi ni almost kilekile Cha msimu uliopita,lakini ameweza kubadili na timu inafanya vizuri, kitu ambacho Makocha wetu akina Klopp wameshindwa.
Kwa kweli man u mnaupiga mwingi..
Vijana waliendelea kupambana hivi mnaweza beba makombe yote.
Real Madrid walijaribu kufanya-enquiry waliambiwa he's not for sale unless mnataka mpasue kibubu. NU wao walimnunua mwaka jana kwa £40M.Kama ningekuwa Nina mamlaka pale unite Leo ningeandaa cheque nimsajili Bruno Guimarães - Kiungo matata kutoka Newcastle United.
Navutiwa Sana na uchezaji wake.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Sajiri za kimkakati huwa zinakuwa na mafanikio sana. Ulimsikia Ten Hag alipokuwa anamzungumzia Lisandro jana? Jinsi alivyokuwa anamuongelea anakuambia nia aina ya wachezaji unaweza kumuamini kukufanyia kazi na anajitoa kwa 100% uwanjani bila kukuangusha.Hakuna dirisha ambalo sajili zake zimekuwa bora kama za huu msimu wa 2022/2023 toka Fergie aondoke OT.