Hili ETH anatakiwa kulifanyia sana kazi. Kama jana Rashford alipiga shuti wakati Antony alikuwa kwenye mazingira mazuri sana ya kufunga.Bado kuna tatizo kubwa la uchoyo kule mbele ,kwa mechi za karibuni karibuni nafasi nyingi za magoli tumezipoteza kwa sababu ya ubinafsi wa wachezaji unakuta mtu mwenzake yupo katika nafasi nzuri zaidi ila anafosi ashinde yeye .
Hakika.Ile break ya World Cup alitumia muda mwingi na wachezaji.
Hapo ndo tumeona improvement kubwa sana kwa baadhi ya wachezaji.
Tukifanikiwa kuondoa ile mizigo na kuleta wengine wapya kama wanne hivi, tutatisha sana.
Kiungo Jombaa. Hatuna mbadala wa Casemiro. Nafasi zote zilizosalia tunaweza kucheza bila yeyote yule timu ita-struggle kidogo ila tutapata matokeo. Ukimuondoa Casemiro timu inakuwa nyeupe sana.Eneo lipi la kufanyia usajili mzuri ukiondoa striker ?
Tunatakia tupate vijana wenye damu moto hapo latikati.Midfield.
Tukimkosa Casemiro tunatafutana.
Katika hilo Rashford ni kinara, ameshindwa kabisa kujizuia asipumbazwe na zile sifa za kufunga kila siku, matokeo yake anawaza afunge yeye tu kwanza (kama hajafunga kwanza basi sahau kuona akitoa assist).Bado kuna tatizo kubwa la uchoyo kule mbele ,kwa mechi za karibuni karibuni nafasi nyingi za magoli tumezipoteza kwa sababu ya ubinafsi wa wachezaji unakuta mtu mwenzake yupo katika nafasi nzuri zaidi ila anafosi ashinde yeye .
Tuna eriksen nje, de Jong anatosha sisi sio chelsea....kama itafaa midfielder mmoja, striker mmoja, winger mmoja, na beki mmoja. akisajili hivi, tena alete wachezaji wanaoleta impacts tofaut na waliopo basi tutatisha sana next season.Mawazo yangu tupate Midfielder wawili.
Sawa mkuu sikatai, ila mjadala kipindi hicho Eth anakuja humu ni kwamba Auzwe, Hoja yangu ilikuwa hakuna beki duniani anayekaba kuliko AWB na akicheza na winga machachari ni kama huyo Winger amepewa kadi nyekundu, hivyo anatupa profile ambayo hatutaipata kwa mtu yoyote yule.AWB yuko vizuri kwenye kukaba ila hana akili ya mpira ,ni mtu wa kupoteza mipira sana kwenye gemu nyingi tu utulivu hana kabisa.
Sababu kubwa inachangia hili ni balance ya wafungaji na watoa pasi,Bado kuna tatizo kubwa la uchoyo kule mbele ,kwa mechi za karibuni karibuni nafasi nyingi za magoli tumezipoteza kwa sababu ya ubinafsi wa wachezaji unakuta mtu mwenzake yupo katika nafasi nzuri zaidi ila anafosi ashinde yeye .
Uko Sahihi.Tuna eriksen nje, de Jong anatosha sisi sio chelsea....kama itafaa midfielder mmoja, striker mmoja, winger mmoja, na beki mmoja. akisajili hivi, tena alete wachezaji wanaoleta impacts tofaut na waliopo basi tutatisha sana next season.
Attacking mid, si yupo Bruno F na Eriksen.Sababu kubwa inachangia hili ni balance ya wafungaji na watoa pasi,
In other dimension kama tuna Eriksen na Martial wapo fit chance nyingi zingetenezwa kuliko umaliziaji.
Naamini kitu cha kwanza dirisha lijalo anakuja midfield mshambuliaji.
Hii ndio kazi ya mkurugenzi wa ufundi sana. Mikakati inaanza kufanyika mapema sana na sio kwa ile style ya kuzima moto. (succession plan)Tunatakia tupate vijana wenye damu moto hapo latikati.
Sijui Madrid huwa wanafanya vipi kuwa na quality midfield misimu yote, wana jicho kali sana.
Wachezaji watatu msimu ujao kazi imeisha. Mimi ni muumini wa quality over quantity, kuna nafasi hazina haja ya kuongeza watu.Tuna eriksen nje, de Jong anatosha sisi sio chelsea....kama itafaa midfielder mmoja, striker mmoja, winger mmoja, na beki mmoja. akisajili hivi, tena alete wachezaji wanaoleta impacts tofaut na waliopo basi tutatisha sana next season.
Hahahahahaa vikombe vingi hapo L'pool walichukuwa kipindi wachezaji wanavaa vichupi chini ya miaka ya 1990.
Ikitokea Qatar wameichukua timu.Hii ndio kazi ya mkurugenzi wa ufundi sana. Mikakati inaanza kufanyika mapema sana na sio kwa ile style ya kuzima moto. (succession plan)
Level ya timu kubwa kama United ili ku-maintain momentum of perfomance unahitaji kuwa na mpango mbadala kwa kila mchezaji muhimu kikosini hata kwa miaka minne mbele.
Shida ya United viongozi wetu wengi wa juu wana maono madogo sana. Kwa nje timu inaonekana kubwa sana ila kwa ndani kuna vilaza wengi sana wasio na shauku kubwa sana ya kupata mataji kila siku.
Ten Hag alipopewa mkataba iliwashtua sana viongozi wengi alipowaambia anataka ku-control mpaka timu ya U-21 ili ajenge mfumo wa ku-connect vijana wadogo na timu kubwa kimfumo wa kiuchezaji.
Ushasema vikombe mkuuHahahahahaa vikombe vingi hapo L'pool walichukuwa kipindi wachezaji wanavaa vichupi chini ya miaka ya 1990.