Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huyu mwamba ni mtata sana
 
Ten Hag
"Leo tumeshinda taji la kwanza. Hii inatupa imani zaidi kwamba tunaweza kufanya zaidi."

"Bado tuko mwanzoni mwa kujaribu kuirejesha Manchester United"

"Nataka tu kushinda. Tuliwekeza tangu mwanzo wa msimu na wafanyakazi pamoja na wachezaji. Wako pamoja, pamoja na mashabiki. Kuna hamu na njaa ya mataji."
 
Wale ambao walikua wana doubt AWB qualities, mmeona Allan saint Maximin alivyoekwa Mfukoni? Mtu ambaye kamtesa sana Dalot imebidi atolewe baada ya kucheza dakika kadhaa na AWB.
AWB yuko vizuri kwenye kukaba ila hana akili ya mpira ,ni mtu wa kupoteza mipira sana kwenye gemu nyingi tu utulivu hana kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…